Anataka Kodi iongezeke ipelekwe chato kujenga airportNi hivi, umasikini wako ndiyo unakufanya uwe na wivu na nyumba za watu.
Eti kwa kuwa mtu kajenga nyumba na hakai au anakaa nusu basi sehemu iliyobakia alipie kodi.
Ungekuwa siyo umasikini usingeandika hivi.
Nina maanisha, tajiri hawezi kutoa mawazo finyu kias hiki maana anajua adha ya ujenzi.
Ungekuwa umejenga usingekuwa na fikra mfu kiasi hiki
Anataka Kodi iongezeke ipelekwe chato kujenga airport
Kwani nyumba za kuishi sio vitu vya msingi eti.Hii itasaidia sana watu kuwekeza kwenye vitu vya msingi kama hotel,viwanda n.k
Katika nyanja ya kiuchumi,kitu chochote ambacho uliwekeza fedha na hakikuzalishii na kiko 'idle' ni upotevu wa fedha.Kuwa na jumba kubwa halafu mnaishi wawili ni hasara kwa sababu utalipia bill zingine ambazo hazikujengi.Ni sawa na kuwa na magari kumi ya kifahari yasiyoingiza kipato wakati watumiaji ni wawili tu...hiyo ni hasara.Kwani nyumba za kuishi sio vitu vya msingi eti.
Moja kipimo cha maendeleo si ni kuwa na makazi Bora pia au vip
Go ahead, make my day.Kwa uandishi huu empty inabidi upigwe empty head tax
Unaongelea Nyanja kiuchumi?Katika nyanja ya kiuchumi,kitu chochote ambacho uliwekeza fedha na hakikuzalishii na kiko 'idle' ni upotevu wa fedha.Kuwa na jumba kubwa halafu mnaishi wawili ni hasara kwa sababu utalipia bill zingine ambazo hazikujengi.Ni sawa na kuwa na magari kumi ya kifahari yasiyoingiza kipato wakati watumiaji ni wawili tu...hiyo ni hasara.
Nakubaliana nawe ndio maana,ukitekeleza utakuwa umeongeza 'Asset' ambazo hazijiendeshi.Unaongelea Nyanja kiuchumi?
Watu wanajenga vijijini Kwa Nyanja za kijamii na malazi.
Unaweza ukawa na uchumi mzr lakini maskini wa kutupwa refer Nigeria
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax