Serikali ianzishe “empty home tax”, kuna nyumba hazina watu Kagera na Kilimanjaro

Serikali ianzishe “empty home tax”, kuna nyumba hazina watu Kagera na Kilimanjaro

Wahaya na wachaga endeleeni kuporomosha vijijini majumba.

Mtoa mada anataka vijiji vyetu vifanane na vyao huko kanda ya Kati na chato!!!
tapatalk_1561703362389.jpeg
 
Ni hivi, umasikini wako ndiyo unakufanya uwe na wivu na nyumba za watu.

Eti kwa kuwa mtu kajenga nyumba na hakai au anakaa nusu basi sehemu iliyobakia alipie kodi.

Ungekuwa siyo umasikini usingeandika hivi.

Nina maanisha, tajiri hawezi kutoa mawazo finyu kias hiki maana anajua adha ya ujenzi.

Ungekuwa umejenga usingekuwa na fikra mfu kiasi hiki
Anataka Kodi iongezeke ipelekwe chato kujenga airport
 
Huu uzi wako, umenikumbusha mjinga mmoja hivi wiki iliyopita anani hoji?
Hivi weee................(akitaja jina langu) umejenga jumba kubwa hivi la nini?
Nilikosa cha kumjibu zaidi zaidi, niliagiza tu bia yangu nyingine na yeye nikamuagizia.
Mtu anajenga kwa malengo ya miaka ijayo hata kama hatakuwepo.
 
Kwa mtindo huu utafika mpaka empty bed na empty chair tax. You will tax yourself into poverty.

Further poverty, that is.

Sio kila unachoona Canada ni cha kuiga.
Kwa uandishi huu empty inabidi upigwe empty head tax
 
Hii itasaidia sana watu kuwekeza kwenye vitu vya msingi kama hotel,viwanda n.k
 
Kwani nyumba za kuishi sio vitu vya msingi eti.

Moja kipimo cha maendeleo si ni kuwa na makazi Bora pia au vip
Katika nyanja ya kiuchumi,kitu chochote ambacho uliwekeza fedha na hakikuzalishii na kiko 'idle' ni upotevu wa fedha.Kuwa na jumba kubwa halafu mnaishi wawili ni hasara kwa sababu utalipia bill zingine ambazo hazikujengi.Ni sawa na kuwa na magari kumi ya kifahari yasiyoingiza kipato wakati watumiaji ni wawili tu...hiyo ni hasara.
 
Ha ha ha.. Na hapo ndo mwenyewe mtoa mada amejitahidi kufikiria nje ya box..
 
20,000/= za machinga bado hazijatosha?Subirini hao watoto watakaofyatuliwa waje walipe
 
Katika nyanja ya kiuchumi,kitu chochote ambacho uliwekeza fedha na hakikuzalishii na kiko 'idle' ni upotevu wa fedha.Kuwa na jumba kubwa halafu mnaishi wawili ni hasara kwa sababu utalipia bill zingine ambazo hazikujengi.Ni sawa na kuwa na magari kumi ya kifahari yasiyoingiza kipato wakati watumiaji ni wawili tu...hiyo ni hasara.
Unaongelea Nyanja kiuchumi?
Watu wanajenga vijijini Kwa Nyanja za kijamii na malazi.

Unaweza ukawa na uchumi mzr lakini maskini wa kutupwa refer Nigeria
 
Unaongelea Nyanja kiuchumi?
Watu wanajenga vijijini Kwa Nyanja za kijamii na malazi.

Unaweza ukawa na uchumi mzr lakini maskini wa kutupwa refer Nigeria
Nakubaliana nawe ndio maana,ukitekeleza utakuwa umeongeza 'Asset' ambazo hazijiendeshi.
 
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.

Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax

Stupid.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kutoza kodi nyingi, bado mnataka kuongeza,
Upumbavu mwingine, impact ya hizo kodi kwenye maendeleo ya wananchi hakuna, zaidi ya kwenda kujenga Chato.
Kodi kibao + umaskini juu.
 
Back
Top Bottom