Mkuu nani Aliyekutuma Useme haya ?Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Hawa ndo think-tank wa serekali ya CCM, lazima raia waumie tu.Kweli kuna wakati nilikua nina jadiri na kujibizana na mleta mada...lakini katika ili nawataarifu sitorudia kujibizana na huyu mtu.
Ahsante
Aliyekuzaa kapata hasara sana,Linazuia watu kupata upepo mzuri .Jengo roho mbaya hilo lisingekuwepo watu wangepata hewa Safi na upepo mwanana Kama wako beach.
Wewe ambaye kwenu kuna Tembe na kampeni ya Nyumba ni Choo haijafika ndio maskiniCanada wenye hiyo empty home tax Ni Maskini?
Chuki yote ya nini?nani alikuambia husijenge??Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Tena wa kikeNi wivu tu.
Wakati mwingine sio kila jambo analofanya mzungu na siisi Watanzania tufanye, Mbona Uingereza hakuna hiyo tax ,Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Huwezi ambiwa hazipo kule kila kitu Ni pesa yako.Bima ya afya ni milioni kumi kwa mwaka kwa mtu mmoja. Hata hapa ungelipa hizo usingekuta hospitali yeyote ya serikali isiyo na dawa.najiuliza tuu, ivi canada napo ukienda hospitali unaweza kuambiwa paracetamol zimeisha? au njoo na gloves zako, kama hauna kanunue hapo nnje?!....kwanini usuwashauri nao waige hayo mamboi kutoka kwetu??