Serikali ianzishe “empty home tax”, kuna nyumba hazina watu Kagera na Kilimanjaro

Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.

Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Mkuu nani Aliyekutuma Useme haya ?
 
Kweli kuna wakati nilikua nina jadiri na kujibizana na mleta mada...lakini katika ili nawataarifu sitorudia kujibizana na huyu mtu.
Ahsante
Hawa ndo think-tank wa serekali ya CCM, lazima raia waumie tu.
 
NA KWA JINSI UCHUMI ULIVYOCHAKAA YAWEZEKANA MLETA MADA KATUMWA KUTEST MWITIKIO LAKINI ISHAWEKWA KWENYE PIPELINE NA KWA HALI ILIVYO HADI VYOO NA MABANDA YA KUKU NA YA MBUZI YATATOZWA KODI NA BADO MAPATO YATAZID KUPOROMOKA NA HUU NI WIVU ZAIDI YA ULE WA NYEGELE
 
Linazuia watu kupata upepo mzuri .Jengo roho mbaya hilo lisingekuwepo watu wangepata hewa Safi na upepo mwanana Kama wako beach.
Aliyekuzaa kapata hasara sana,
Nyie ndo mnaoongeza idad ya wapumbavu,duniani
 
Yawezakuwa mleta mada ni sipikaa tu hebu tufatilieni hii nyaya imeelekea wapi

Usishangae unaambiwa tunaanza kuilipa
 
Wewe ambaye kwenu kuna Tembe ndio maskini
Kukaa nyumba za tembe Sio umaskini wewe nenda mbugani wazungu wanalala nyumba za tembe Kuna mahoteli.makubwa ya kitalii yameezekwa tembe watu wanalipia dola kulala humo ndani ya tembe
 
najiuliza tuu, ivi canada napo ukienda hospitali unaweza kuambiwa paracetamol zimeisha? au njoo na gloves zako, kama hauna kanunue hapo nnje?!....kwanini usuwashauri nao waige hayo mamboi kutoka kwetu??
 
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.

Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Chuki yote ya nini?nani alikuambia husijenge??
 
HONGERA NAONA PIA UMEFUATA MFUMO WA KIDEMOKRASIA WA CANADA WA KUTOA MAONI ILA NAONA DOMOKAMASINIA WANAVYOTOA POVU.ILA ANGEONGEA MTUKUFU WA NORWAY INGEKUWA 100
 
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.

Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Wakati mwingine sio kila jambo analofanya mzungu na siisi Watanzania tufanye, Mbona Uingereza hakuna hiyo tax ,
 
Ndo sifa mojawapo ya masikini,wivu na roho mbaya.
 
najiuliza tuu, ivi canada napo ukienda hospitali unaweza kuambiwa paracetamol zimeisha? au njoo na gloves zako, kama hauna kanunue hapo nnje?!....kwanini usuwashauri nao waige hayo mamboi kutoka kwetu??
Huwezi ambiwa hazipo kule kila kitu Ni pesa yako.Bima ya afya ni milioni kumi kwa mwaka kwa mtu mmoja. Hata hapa ungelipa hizo usingekuta hospitali yeyote ya serikali isiyo na dawa.
 
Back
Top Bottom