kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Huyo afisa Kodi wa kata nae atajifunza upigaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka wakala wa kwenda kulipia? Mbona kuongeza gharama zisizo na sababu. Namna ya kuwalipa TRA haijawahi kuwa tatizo.Mawakala sio waajiriwa..
Hata wakala wa benki akipewa training anaweza kukusaidia kulipa Kodi bila kwenda tra...
Mbona tunafanya miamala ya Benki na kufungua account bila kwenda bank na bila rushwa??
Mawazo mazuri,kuongeza outreach to grassroot levelHuu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima hasa Kwa majiji makubwa kama Dar na mengine akawepo "afisa Kodi WA kata".. huyu kazi yake kubwa kuelimisha mwananchi Umuhimu WA Kodi na why alipe Kodi na Kodi stahiki Kwa Aina ya kipato chake ni ipi......akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia pia kuishauri serikali Kodi kero za kufutwa ....huyu afisa Kodi atahusika na Kodi zote .ziwe za TRA, za manisapaa... ushuru, tozo... kazi yake ni kuishauri serikali kupanga viwango husika na kutoa elimu Kwa mwananchi...
Kingine TRA sasa wawe na mawakala wa TRA... kazi Yao ni kuisaidia tra makusanyo Kwa ukaribu... mawakala since itawalipa hiyo kazi Kwa commission wanaweza kuwa Wengi mitaani... TRA ikawa train na kuwapa miiko ya kazi ...na wakawa wanafanya kazi chini ya afisa Kodi WA kata... cha muhimu ni system nzuri itakayokuwa transparent na itasaidia sana kuepusha migogoro na watu kukwepa kodi....
Mwisho kila Mtanzania sasa alipwe tax returns na aelimishwe faida za Kodi Kwa Taifa ...hii pia itasaidia sana watu kutokukwepa Kodi ..
Mawazo mazuri,kuongeza outreach to grassroot level
Ifike mahala TRA iwe kama IRS
Kila mtu alipe kodi
Mchakato wa NIDA ukamilike tuanzie hapo,TIN can be synchronized mbeleni
Ndio maana naichukia serikali kupita maelezoHuu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima hasa Kwa majiji makubwa kama Dar na mengine akawepo "afisa Kodi WA kata".. huyu kazi yake kubwa kuelimisha mwananchi Umuhimu WA Kodi na why alipe Kodi na Kodi stahiki Kwa Aina ya kipato chake ni ipi......akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia pia kuishauri serikali Kodi kero za kufutwa ....huyu afisa Kodi atahusika na Kodi zote .ziwe za TRA, za manisapaa... ushuru, tozo... kazi yake ni kuishauri serikali kupanga viwango husika na kutoa elimu Kwa mwananchi...
Kingine TRA sasa wawe na mawakala wa TRA... kazi Yao ni kuisaidia tra makusanyo Kwa ukaribu... mawakala since itawalipa hiyo kazi Kwa commission wanaweza kuwa Wengi mitaani... TRA ikawa train na kuwapa miiko ya kazi ...na wakawa wanafanya kazi chini ya afisa Kodi WA kata... cha muhimu ni system nzuri itakayokuwa transparent na itasaidia sana kuepusha migogoro na watu kukwepa kodi....
Mwisho kila Mtanzania sasa alipwe tax returns na aelimishwe faida za Kodi Kwa Taifa ...hii pia itasaidia sana watu kutokukwepa Kodi ..
We unakuta guta Ili lifike dukani linapinduka mara kadhaa kisa njia mbovu, huyo afisa tra kata atakuwa na wakati mgumu sana katka utekelezaji wa majukum yake.Mwisho wa siku watu watataka kuona na kujua kwamba hicho kinachokusanywa kinaenda kufanya yale yaliyokusudiwa?
Hapo nyuma wakati wa yule aliyeonekana muovu kuliko wote duniani (kwa mujibu wa watu) jamii ilikuwa na muamko mkubwa na hata somo la kodi lilishawaingia watu kiasi hata mtu alikuwa akitaka kupiga anapiga kwa aibu kwa sababu aliona alichotoa jana leo kimefanya kazi lakini leo watu wanaambiwa walipe kodi kesho inatangazwa watu wameiba B kadhaa nani atakuwa na moyo wa kulipa kodi?
Ushauri uwe kwamba kwanza serikali itafute wataalamu wa kusaidia kuipa elimu namna bora ya kutumia kodi inayokusanywa na wale wanaoonekana wabadhirifu waadhibiwe kisha ndiyo waje kwa jamii kuitaka hiyo kodi.
NB;sitabishana kisiasa tubishane kwa facts!
I wish mwananchi yeyote asiisaidie serikali/TRA kufanya lolote iwe kwa kua wakala au kutoa taarifa yeyote voluntarilyWakipewa maelekezo washirikiane ...itawezekana Sana but mostly important mawakala wa kodi ambao wao wanapata commission...wakimsaidia mtu kulipa Kodi zake stahiki bila kwenda tra wala manispaa wakiwepo watasaidia sana...pamoja na kutoa elimu...
Naunga mkono hoja..hoja nzuri sana..na Kama sijakosea hili limeshawahi kuletwa tena hapa jukwaani..ni wakati muafaka Sasa serikali ikafanyia kazi wazo hili la kuwa na mawakala wa Kodi mpaka ngazi ya mtaa au kitongoji..hii itaongeza ukusanyaji wa Kodi kwa kiwango kikubwa sanaHuu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima hasa Kwa majiji makubwa kama Dar na mengine akawepo "afisa Kodi WA kata".. huyu kazi yake kubwa kuelimisha mwananchi Umuhimu WA Kodi na why alipe Kodi na Kodi stahiki Kwa Aina ya kipato chake ni ipi......akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia pia kuishauri serikali Kodi kero za kufutwa ....huyu afisa Kodi atahusika na Kodi zote .ziwe za TRA, za manisapaa... ushuru, tozo... kazi yake ni kuishauri serikali kupanga viwango husika na kutoa elimu Kwa mwananchi...
Kingine TRA sasa wawe na mawakala wa TRA... kazi Yao ni kuisaidia tra makusanyo Kwa ukaribu... mawakala since itawalipa hiyo kazi Kwa commission wanaweza kuwa Wengi mitaani... TRA ikawa train na kuwapa miiko ya kazi ...na wakawa wanafanya kazi chini ya afisa Kodi WA kata... cha muhimu ni system nzuri itakayokuwa transparent na itasaidia sana kuepusha migogoro na watu kukwepa kodi....
Mwisho kila Mtanzania sasa alipwe tax returns na aelimishwe faida za Kodi Kwa Taifa ...hii pia itasaidia sana watu kutokukwepa Kodi ..
Its a process lakiniHewaa...wewe umenielewa kabisa...
Kila mtu alipe Kodi ..Kodi iwe nafuu ..
Chadema na wapuuzi wengine watapingaHuu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima hasa Kwa majiji makubwa kama Dar na mengine akawepo "afisa Kodi WA kata".. huyu kazi yake kubwa kuelimisha mwananchi Umuhimu WA Kodi na why alipe Kodi na Kodi stahiki Kwa Aina ya kipato chake ni ipi......akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia pia kuishauri serikali Kodi kero za kufutwa ....huyu afisa Kodi atahusika na Kodi zote .ziwe za TRA, za manisapaa... ushuru, tozo... kazi yake ni kuishauri serikali kupanga viwango husika na kutoa elimu Kwa mwananchi...
Kingine TRA sasa wawe na mawakala wa TRA... kazi Yao ni kuisaidia tra makusanyo Kwa ukaribu... mawakala since itawalipa hiyo kazi Kwa commission wanaweza kuwa Wengi mitaani... TRA ikawa train na kuwapa miiko ya kazi ...na wakawa wanafanya kazi chini ya afisa Kodi WA kata... cha muhimu ni system nzuri itakayokuwa transparent na itasaidia sana kuepusha migogoro na watu kukwepa kodi....
Mwisho kila Mtanzania sasa alipwe tax returns na aelimishwe faida za Kodi Kwa Taifa ...hii pia itasaidia sana watu kutokukwepa Kodi ..
@The Boss soma kwa umakini comment inayofuata baada ya hii yako.Tatizo wala sio tra..
Kuna ushuru wa manispaa..
Takataka peke yake wanalipa elfu 40 Kwa mwezi nasikia...
Vitu kama hivyo akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia sana
Faida ya kodi ni pamoja na kuongeza bajeti ya ndege toka bilion 37 hadi bilioni 89?Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima hasa Kwa majiji makubwa kama Dar na mengine akawepo "afisa Kodi WA kata".. huyu kazi yake kubwa kuelimisha mwananchi Umuhimu WA Kodi na why alipe Kodi na Kodi stahiki Kwa Aina ya kipato chake ni ipi......akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia pia kuishauri serikali Kodi kero za kufutwa ....huyu afisa Kodi atahusika na Kodi zote .ziwe za TRA, za manisapaa... ushuru, tozo... kazi yake ni kuishauri serikali kupanga viwango husika na kutoa elimu Kwa mwananchi...
Kingine TRA sasa wawe na mawakala wa TRA... kazi Yao ni kuisaidia tra makusanyo Kwa ukaribu... mawakala since itawalipa hiyo kazi Kwa commission wanaweza kuwa Wengi mitaani... TRA ikawa train na kuwapa miiko ya kazi ...na wakawa wanafanya kazi chini ya afisa Kodi WA kata... cha muhimu ni system nzuri itakayokuwa transparent na itasaidia sana kuepusha migogoro na watu kukwepa kodi....
Mwisho kila Mtanzania sasa alipwe tax returns na aelimishwe faida za Kodi Kwa Taifa ...hii pia itasaidia sana watu kutokukwepa Kodi ..
Mawakala wa TRA tayari Wapo, na wamesajiliwa kibhalali, na wanaingia kwenye mfumo Wa TRA kabisa, sasa. Nataka TRA wawe na Mawakala wa aina ngapi?Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima hasa Kwa majiji makubwa kama Dar na mengine akawepo "afisa Kodi WA kata".. huyu kazi yake kubwa kuelimisha mwananchi Umuhimu WA Kodi na why alipe Kodi na Kodi stahiki Kwa Aina ya kipato chake ni ipi......akiwepo afisa Kodi WA kata atasaidia pia kuishauri serikali Kodi kero za kufutwa ....huyu afisa Kodi atahusika na Kodi zote .ziwe za TRA, za manisapaa... ushuru, tozo... kazi yake ni kuishauri serikali kupanga viwango husika na kutoa elimu Kwa mwananchi...
Kingine TRA sasa wawe na mawakala wa TRA... kazi Yao ni kuisaidia tra makusanyo Kwa ukaribu... mawakala since itawalipa hiyo kazi Kwa commission wanaweza kuwa Wengi mitaani... TRA ikawa train na kuwapa miiko ya kazi ...na wakawa wanafanya kazi chini ya afisa Kodi WA kata... cha muhimu ni system nzuri itakayokuwa transparent na itasaidia sana kuepusha migogoro na watu kukwepa kodi....
Mwisho kila Mtanzania sasa alipwe tax returns na aelimishwe faida za Kodi Kwa Taifa ...hii pia itasaidia sana watu kutokukwepa Kodi ..
Mawakala wa TRA tayari Wapo, na wamesajiliwa kibhalali, na wanaingia kwenye mfumo Wa TRA kabisa, sasa. Nataka TRA wawe na Mawakala wa aina ngapi?
Kadhia hiyo nilikumbana nayo wakati nabadiri hati ya kiwanja, kila ofisi unayokanyaga wanataka ulipe hela, mpaka unadikia kero, kiwanja kilekile mtu yuleyule iweje kila ofisi ulipe hela yote hiyo., Wakati mwingine ni wizi tuuYaani mnacho shauri huwa mna exclude Halmashauri, utafikiri Halmashauri siyo sehemu ya Serikali.
Tatizo kubwa la nchi hii, hakuna Muunganiko.
Serikali Kuu na taasisi zake inajipendelea kwenye kila kitu (nadhani isipokuwa Maafisa Tarafa) wanaofanya kazi chini ya DC.
Watumishi unaowasema waote wanaweza kupatikana chini ya Halmashauri.
Halmashauri zinaendeshwa Kama watu hawakwenda shule.
Ziko zig zag, Kwasababu serikali inathamini zaidi watu wanaoifadisha na siyo watu wanaofaidisha jamii.
Yaani wewe Mhasibu unayehudumia watu 3,000 huko TAMISEMI huna maana, ila Mhasibu mwenye elimu kama wewe huko TRA anaishi ulimwengu mwingine kabisa.
Shida kubwa kwa sheria za fedha za nchi hii.
- Halmashauri zinakaa zinatunga
- Serikali kuu (Mof) inakaa inatunga sheria
- Taasisi (TMDA, TBS, TMDA,NEMC, Bodi ya Nyama, Bodi ya KOROSHO, Bodi ya Pamba, Bodi ya Kahawa, Ufuta nk) wanakaa wanatunga sheria.
Hawa wote kila mmoja anakaa anatunga kwa wakati wake, bila kumhusisha mwenzake na TARGET ni mtu MMOJA yule yule. Lazima aumie.
Suluhisho kubwa 2:
- Kuwekwe utaratibu (mmoja) suala lolote linalohusu kukusanya mapato kutoka kwa mtu litokee sehemu moja, ili kuepeuka kukomaa na mtu kwa Kodi 1,000 bila kujia.
- Kuongeza wigo wa Kodi ( hii itapunguza ukubwa wa Kodi, kwa mtu mmoja mmoja).