#COVID19 Serikali: Ibada za misiba zisizidi dk 30 mpaka saa moja, zingatieni Social Distancing

Hivi vipimo vya corona vya nchi nzima bado vinapelekwa Dar es Salaam?au kuna maabara zimeongezeka?Na je wanapima watu wangapi kwA siku na positive cases ni ngapi kwA siku?
 
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema

“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
Hivi kiprotocal waziri wa afya ndiye anatoa amri za kiserikali? Siyo waziri mkuu kwa maagizo ya raisi? Nilidhani yeye anaripoti mamlaka husika halafu hiyo mamlaka ndiyo inatoa makatazo!!!!!
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.
Kwani kuna mahali umezuiwa kumtanguliza Mungu?
 
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema

“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
Wangeanza na nyomi la lake tanganyika kama wako serious....
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.

Kwani wewe haumtangulizi Mungu?sisi tunamtanguliza maana korona ni jina na jina lipitalo majina yote ni jina la Yesu tu na sisi tunaoomba korona tunaisikia tu
 
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema

“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
Mazishi hayafuriki kama masoko yetu au shule zetu mjue na hamjasema lolote kuhusu masoko na shule!
 
Kukaa umbali wa mita moja”
Swali?
  1. Maambukizi yapo kwenye ibada tu?
  2. Kwenye vyombo vya usafiri hakuna maambukizi?
  3. Kwenye daladala, mwendokasi, treni ya mwakyembe mita moja inapatikana sehemu gani?
  4. Simba na Yanga wanacheza Kigoma, je haya yamezingatiwa? Au Kigoma hakuna maambukizi?
  5. Mashuleni kumewekewa utaratibu au tunasubiri vifo ndipo tuamke kizimamoto?
 
Back
Top Bottom