Serikali ibadili hela ili watu watumie taasisi za fedha

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Bado inaonekana kuna hela za kitanzania zimefichwa nje ya mfumo wa mabenki. Hiv serikali haiwezi kuamua kuprinti aina mpya noti za 10,000/= na 5,000/= ili ilazimishe watu kwenda benki kubadili kwa sharti la watu kuwa na account hasa kwa wenye kubadili kiwango flani cha fedha.
 
Kuchapisha noti, kutoa elimu, kuzisambaza nk ni gharama kubwa
 
Back
Top Bottom