Hili liwe fundisho kwa Mamluki wengine na Chawa kwamba hakuna Rais wa mileleHalmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati JPM akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa serikali, watumishi wa umma, binafsi, na wafanyabiashara.
Lakini tangu JPM afariki, wamevitelekeza, havijajengwa, na hata hawavitembelei. Yamekuwa mapori makubwa yanayoweza kulisha makundi hata 100 ya tembo.
Baadhi walioanza kujenga gesti na hoteli kwa ajili ya wageni wanaokuja kumuona muheshimiwa, nao wameacha magofu na kutokomea kusikojulikana.
Naomba serikali iingilie kati. Wakati wa JPM viwanja vilipanda bei vikawa havishikiki, lakini sasa hivi, mtu anamtafuta wa kumuuzia hampati
We jamaa ni mnaa sana. Hapa unataka tu Elitwege aje aseme nenoYamekuwa mapori makubwa yanayoweza kulisha makundi hata 100 ya tembo
Zanzibar ni fursa, training za timu dunia nzima zitafanyika hapoWe jamaa ni mnaa sana. Hapa unataka tu Elitwege aje aseme neno
Pia mshauri sana bi mdashi wa Kizimkazi. Mwambie siku hazidumu. Hata hiyo academy ya sport itakuwa magofu siku akiondoka maana hela za kuimaintain hazitakuwepo
Tungeona kwenye timu zao. Acha unafikiZanzibar ni fursa, training za timu dunia nzima zitafanyika hapo
Viongozi gani? Watajeni.Halmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati Joseph Pombe Magufuli akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa Serikali, watumishi wa Umma, binafsi, na wafanyabiashara.
Lakini tangu Magufuli afariki, wamevitelekeza, havijajengwa, na hata hawavitembelei. Yamekuwa mapori makubwa yanayoweza kulisha makundi hata 100 ya tembo.
Baadhi walioanza kujenga gesti na hoteli kwa ajili ya wageni wanaokuja kumuona Magufuli, nao wameacha magofu na kutokomea kusikojulikana.
Naomba Serikali iingilie kati. Wakati wa Magufuli viwanja vilipanda bei vikawa havishikiki, lakini sasa hivi, mtu anamtafuta wa kumuuzia hampati.
Mitanzania mijinga sana lile liserikali la mwendakuzimu lilikuwa liserikali fake linapika data za uongo na nyie mliliamini.Angekuwapo Hadi Sasa tungekuwa tumepiga hatua kubwa kimaendeleo kuliko huyu bibi wa mwana kwerekwe ambaye ameturudisha nyuma kimaendeleo ambapo Kuja kufikika Tena alipotuachia magufuli kwenye uchumi wa kati itatuchukua miaka sabini mbele.huyu bibi hakufaa kabisa kurithi hii mikoba
Yani mtu kanunua ardhi yake halafu serikali iingilie kati😂Halmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati Joseph Pombe Magufuli akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa Serikali, watumishi wa Umma, binafsi, na wafanyabiashara.
Lakini tangu Magufuli afariki, wamevitelekeza, havijajengwa, na hata hawavitembelei. Yamekuwa mapori makubwa yanayoweza kulisha makundi hata 100 ya tembo.
Baadhi walioanza kujenga gesti na hoteli kwa ajili ya wageni wanaokuja kumuona Magufuli, nao wameacha magofu na kutokomea kusikojulikana.
Naomba Serikali iingilie kati. Wakati wa Magufuli viwanja vilipanda bei vikawa havishikiki, lakini sasa hivi, mtu anamtafuta wa kumuuzia hampati.
Hivi matahira waliokwenda kuwekeza Chato walishindwa kujua kuwa jiwe atakata moto soon?Mitanzania mijinga sana lile liserikali la mwendakuzimu lilikuwa liserikali fake linapika data za uongo na nyie mliliamini.
Serikali hiyo hiyo iliundwa na CCM.Mitanzania mijinga sana lile liserikali la mwendakuzimu lilikuwa liserikali fake linapika data za uongo na nyie mliliamini.