Serikali ichukue hatua dhidi ya viongozi wa Serikali waliochukua viwanja Chato ili wavijenge, baada ya Magufuli kufariki, wamevitelekeza

Mitanzania mijinga sana lile liserikali la mwendakuzimu lilikuwa liserikali fake linapika data za uongo na nyie mliliamini.
Kweli wtz wanaujinga mwingi sana.Hivi mwenye akili timamu anaweza kukubali huu utawala wa kizimkazi unamanufaa?ni kichaa tu na mwendawazimu anayeweza kusema ni mzuri.watu wanapotezwa Kila siku,rushwa imetamalaki na bidhaa zote kimepanda mara elfumoja zaidi na haijawahi kutokea Toka tupate uhuru.
 
Lucas MWASHAMBWA Hebel ni tatizo kubwa na wapotoshaji...njaa MBAYA Sana. Unakuwa mmbea badala ya MSOMI.
 
Halmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati Joseph Pombe Magufuli akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa Serikali, watumishi wa Umma, binafsi, na wafanyabiashara.

Lakini tangu Magufuli afariki, wamevitelekeza, havijajengwa, na hata hawavitembelei. Yamekuwa mapori makubwa yanayoweza kulisha makundi hata 100 ya tembo.

Baadhi walioanza kujenga gesti na hoteli kwa ajili ya wageni wanaokuja kumuona Magufuli, nao wameacha magofu na kutokomea kusikojulikana.

Naomba Serikali iingilie kati. Wakati wa Magufuli viwanja vilipanda bei vikawa havishikiki, lakini sasa hivi, mtu anamtafuta wa kumuuzia hampati.
Serikali iingilie kati??? Vipi uwanja wa ndege!!!!!!
 
Tupo bize na Kisimkazi hivi Sasa kwanza! Tunafumua mahoteli huku ndiko fursa zimehamia
 
Halmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati Joseph Pombe Magufuli akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa Serikali, watumishi wa Umma, binafsi, na wafanyabiashara.

Lakini tangu Magufuli afariki, wamevitelekeza, havijajengwa, na hata hawavitembelei. Yamekuwa mapori makubwa yanayoweza kulisha makundi hata 100 ya tembo.

Baadhi walioanza kujenga gesti na hoteli kwa ajili ya wageni wanaokuja kumuona Magufuli, nao wameacha magofu na kutokomea kusikojulikana.

Naomba Serikali iingilie kati. Wakati wa Magufuli viwanja vilipanda bei vikawa havishikiki, lakini sasa hivi, mtu anamtafuta wa kumuuzia hampati.
Chawa mwenzio hajakubali matokeo, ubao unasoma 3 bila.

Back
Top Bottom