Serikali ichukue hatua kali sana kwa Maafisa Utumishi wa namna hii

Serikali ichukue hatua kali sana kwa Maafisa Utumishi wa namna hii

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
655
Reaction score
1,069
Kumekuwa na mvutano wa hali ya juu sn kati ya vyama viwili vya kutetea walimu yaan cwt na chakuhawata juu ya nan mwenye haki ya kumtetea mwalimu huku CWT kikijinasibu kuwa na haki na hata inapoonekana chakuhawata wameingia kwenye makato bas cwt ipo tayar kutumia hela kuhonga maafisa utumishi ili tu mtumishi awe anakatwa vyama vyote viwili kitu ambacho sheria ya kaz na utumishi inakataaa.

Sasa naona mchezo huo unachezwa baina ya viongozi wa cwt na chakuhawata.

Walimu wamekuwa kwenye mateso makubwa hasa kwa hicho chama chao cha cwt na bado inaonekana wamenogewa na huo ukandamizaji.

Sheria iko waz waz kuwa mfanyakazi anatakiwa kukatwa na chama kimoja tu na si vinginevyo hivo kinachofanywa na maafisa utumishi ni zaid ya uuni kwa waalimu hapa na inaonekana wao kama kama maafisa utumishi wameshindwa tafsiri sheria na hivo kuwa doa kubwa sn katika utumishi wa Serikali.

Serikali kupitia utumishi wa uma ichukue hatua kali sn kwa maafisa utumishi waliaomua kuitia doa serikali na kuichonganisha serikali na watumishi wa uma hasa walimu popote pale ambao wanakatwa na vyama vyote viwili wafungue kesi mahakamani ya wizi wawazi unaofanywa baina ya viongozi wa CWT wakishirikiana na maafisa utumishi
 
CWT ni chama kama vilivyo vyama vingine vya Wafanyakazi sio lazima kuwa mwanachama kujiunga ni voluntary-ukiona hakina umuhimu kwako unaweza kujitoa.
 
Back
Top Bottom