A
Anonymous
Guest
Shule ya Sekondari Tarakea Iliyopo Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro ilikuwa ni moja ya shule bora sana, ilikuwa na ufaulu mzuri. Hivi karibuni imebadilisha uongozi, kumekuwa na tabia ya kuwapa adhabu Wanafunzi ovyo.
Mwalimu Mkuu amekuwa na majibu ya ovyo kwa Wazazi, Wanafunzi mpaka kwa Walimu wenzie, baadhi ya Walimu wanatamani atokee mzazi mmoja apaze sauti juu ya hii shule.
Kuna watoto wawili inasemekana walikunywa sumu wakaokolewa, mkuu wa shule akawalazimisha waseme kama walikuwa wanaumwa.
Pia soma ~ Shule ya Sekondari Tarakea Day iliyoko wilayani Rombo waache kukomoa wazazi na wanafunzi