Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance.
Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo.
Usipoziba ufa utajenga kuta.
Miaka 30 iliyopita Nigeria ilikuwa shwari kabisa lakini sasa serikali ya Nigeria imeishiwa pumzi.
Kuna mitume na manabii wengi Nigeria lakini wameshindwa kuiteketeza kwa moto roho ya wanaoua wanadamu wenzao kisa dini.