Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Toa mifano, taja shule, taja wahusika, na vielelezo ikibidi. JF ni jukwaa kubwa la watu wa kada zote watalifanyia kazi.Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance.
Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo.
Usipoziba ufa utajenga kuta.
Miaka 30 iliyopita Nigeria ilikuwa shwari kabisa lakini sasa serikali ya Nigeria imeishiwa pumzi.
Kuna mitume na manabii wengi Nigeria lakini wameshindwa kuiteketeza kwa moto roho ya wanaoua wanadamu wenzao kisa dini.
Shule zote hasa advance zina vikundi vya dini. Sasa kuna dini moja hiyo huwa haijawahi kuwa na nia njema juu ya wanadamu wenzao. Wanatumia hicho kikundi kujiimarisha hasa kifikra na kielimu akheraToa mifano, taja shule, taja wahusika, na vielelezo ikibidi. JF ni jukwaa kubwa la watu wa kada zote watalifanyia kazi.
Mm nadhani kabla ya serikali haijaenda huko shuleni unako kusema ,kwanza ingeanza na nyinyi wapumbavu mnao shinda kutwa kuanzisha mijadala ya kashifa za kidini kwenye mitandao ya kijamii.Shule zote hasa advance zina vikundi vya dini. Sasa kuna dini moja hiyo huwa haijawahi kuwa na nia njema juu ya wanadamu wenzao. Wanatumia hicho kikundi kujiimarisha hasa kifikra na kielimu akhera
Jambo hili kama ni kweli lipo,, likichukuliwa kimzaha, litazaa majanga. Tukumbuke, kibiti, Tanga kule mapango ya Amboni, Kidatu, Bukoba, Zanzibar nk. Hawa watu hulishwa sumu kiasi kwamba anaona kuua mtu kama kuku tu. Tusisahau Msumbiji, Congo, west Africa, Nigeria, Mali, Kenya nk ni matokea ya kudharau national security alarm na kuendekeza ushabiki na ujinga wa kidini. Vyombo husika vifuatilie hili kwa ukaribu na umakini.Mm nadhani kabla ya serikali haijaenda huko shuleni unako kusema ,kwanza ingeanza na nyinyi wapumbavu mnao shinda kutwa kuanzisha mijadala ya kashifa za kidini kwenye mitandao ya kijamii.
Acha uongo huo niuchocheziShule zote hasa advance zina vikundi vya dini. Sasa kuna dini moja hiyo huwa haijawahi kuwa na nia njema juu ya wanadamu wenzao. Wanatumia hicho kikundi kujiimarisha hasa kifikra na kielimu akhera
Ni dini gani hiyo ? Unaweza kufunguka zaidi ?Shule zote hasa advance zina vikundi vya dini. Sasa kuna dini moja hiyo huwa haijawahi kuwa na nia njema juu ya wanadamu wenzao. Wanatumia hicho kikundi kujiimarisha hasa kifikra na kielimu akhera
Dini ya mudiNi dini gani hiyo ? Unaweza kufunguka zaidi ?View attachment 3169428