Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa.
Sisemi watu wasiuze lakini kwa kiwango fulani ili baadae mwezi wa Kumi na mpaka Jan watu wasife na njaa.
Nawasilishaa.
Sisemi watu wasiuze lakini kwa kiwango fulani ili baadae mwezi wa Kumi na mpaka Jan watu wasife na njaa.
Nawasilishaa.