Ili wewe ununue Bei Chee at expenses ya wakulima au?Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa.
Sisemi watu wasiuze lakini kwa kiwango fulani ili baadae mwezi wa Kumi na mpaka Jan watu wasife na njaa.
Nawasilishaa.
Nenda kalime. Haiwezekani mtu alime halafu uanze kumpangia mali yake.Kenge haelewi hadi damu imtoke masikioni, acha wakenya wajisombee chakula ili baadaye waje watupige mwingi.
Will never happen kama tuu ambavyo haijawahi tokea..Kenge haelewi hadi damu imtoke masikioni, acha wakenya wajisombee chakula ili baadaye waje watupige mwingi.
Wewe umelima? au ndo wale madalali na walanguzi wa mazao mnaowaibia wakulima kupitia kubana mizani, lumbesa na kangomba.Nenda kalime. Haiwezekani mtu alime halafu uanze kumpangia mali yake.
Vyovyote, hao wanafanya kazi kwa makubaliano. Ndiyo biashara. Sasa weww unataka kumuibia mtu kalima ili upate ugali wa bei chee.Wewe umelima? au ndo wale madalali na walanguzi wa mazao mnaowaibia wakulima kupitia kubana mizani, lumbesa na kangomba.
Kuna biashara gani hapo zaidi ya uporaji, kwanza umempa mkulima bei ndogo, hapohapo umebana mizani na bado unajaza lumbesa, halafu nyie ndo mnalialia humu linapoongelewa swala la kuthibiti usafirishaji wa mazao kwenda nje mkijifanya wakulima.Vyovyote, hao wanafanya kazi kwa makubaliano. Ndiyo biashara. Sasa weww unataka kumuibia mtu kalima ili upate ugali wa bei chee.
Biashara makubalianoKuna biashara gani hapo zaidi ya uporaji, kwanza umempa mkulima bei ndogo, hapohapo umebana mizani na bado unajaza lumbesa, halafu nyie ndo mnalialia humu linapoongelewa swala la kuthibiti usafirishaji wa mazao kwenda nje mkijifanya wakulima.
Mbona hamzuii Simenti waacheni wakulima wauze watakavyo, mwakani kila mtu aingie shambaniWaziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa.
Sisemi watu wasiuze lakini kwa kiwango fulani ili baadae mwezi wa Kumi na mpaka Jan watu wasife na njaa.
Nawasilishaa.