Mkuu madalali na walanguzi wa mazao wanaojiita wakulima watakuja sasa hivi kukutolea povu na kukuuliza maswali kama na wewe umelima.....Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje
Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Wewe umelima?Mkuu madalali na walanguzi wa mazao wanaojiita wakulima watakuja sasa hivi kukutolea povu na kukuuliza maswali kama na wewe umelima.....
kibongo bongo tumeshaaminishwa chakula kikuu ni wangaMsikariri kuwa mahindi ndo chakula pekee, mbona asilimia kubwa ya dunia hawali mahindi
Mkulima alilima na serikali? Ishauri serikali iyanunue hayo mahindi, ikupe.Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje
Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Nenda kalime shamba lako ili serikali idhibiti mahindi kwenda nje. Nenda kalime shamba la mahindi ili uweze kupata chakula chako. Acha kila mmoja Aamue Kwa kupeleka mahindi Ya jasho lakeBei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje
Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Wewe kinakuuma nini kama hawanufaiki. Kama unahisi kuna Njaaa nenda ukalime chakula chako mwenyewe.. Acha wanaotaka kuuza wauze..kwani wewe ndio msemajj wa wakulimaIfahamike kuwa mahindi yanaenda kenya ila wakulima hawanufaiki kivile, wanaonufaika ni wafanyabiashara wanaozukuka na magari kununua mahindi kwa bei rahisi na kuyauza ghali.
Broo kijiiini kwetu mkulima ananufaika Sana tu mkuu . Debe anauza elfu 15. Tena mwaka huu tumenufaika kuliko miaka miwili nyumaIfahamike kuwa mahindi yanaenda kenya ila wakulima hawanufaiki kivile, wanaonufaika ni wafanyabiashara wanaozukuka na magari kununua mahindi kwa bei rahisi na kuyauza ghali.
Hivi unajua chain of supply (value chain) ?Na bado Kampala inategemea kulishwa mchele na Kahama,Ifakara na mpanda.
Wakulima kama wangekuwa ndio wauzaji wa moja kwa moja wangenufaika sana na mazao yao bahati mbaya madalali na wafanyabiashara ndio wanufaika wa hali ya sasa.
Arusha hapa wanauzia wakenya kilo 1100Broo kijiiini kwetu mkulima ananufaika Sana tu mkuu . Debe anauza elfu 15. Tena mwaka huu tumenufaika kuliko miaka miwili nyuma
Huyu mama asipotumia akili ya kawaida ya binadamu Watanzania kwa mara ya kwanza tutakufa kwa njaa. Tumemsikia Waziri wake Bashe akithibitisha kuwa mipaka haitofungwa kwa biashara ya nafaka hasa mahindi na mchele. Baya zaidi wafanyabiashara toka nchi za jirani wanakwenda hadi vijijini kwa wa kulima kununua mazao. Jambo ambao ni kinyume cha kanuni tulizojiwekea kwa tawala zilizopita. Mama amka Waziri wako kwa hili anafanya makosa yatakayo kugharimu 2025 si mbali.Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje
Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Tafuta shamba lako ukalime ujiwekeBei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje
Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Kulima alime yeye pembe jeo anunue yeye leo hii pa kuhuzia apangiwe duhBei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje
Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Si ndio hapo.Upuuzi mtupu, hujamsaidia mtu kulima,pembejeo,kuvuna lkn ikija kwny suala la kuuza mahindi yake mnaanza mdomo.