Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje

Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Mkuu madalali na walanguzi wa mazao wanaojiita wakulima watakuja sasa hivi kukutolea povu na kukuuliza maswali kama na wewe umelima.....
 
Jukumu la kutunza chakula.Akiba ya chakula kama hakuna janga la kiasli like la kaya usika. Kumwambia mkulima asiuze mahindi au nafaka yake kutakuwa na njaa sio sahihi .Yeye alilima kiuchumi wala hakuwa na mkataba na serikali kulisha watu wake . Bw. Bashe uko sawa tunalima ili tuuze penye bei inayolipa.
 
Na bado Kampala inategemea kulishwa mchele na Kahama,Ifakara na mpanda.

Wakulima kama wangekuwa ndio wauzaji wa moja kwa moja wangenufaika sana na mazao yao bahati mbaya madalali na wafanyabiashara ndio wanufaika wa hali ya sasa.
 
Eti kama umeshindwa maisha "nenda kalime". Sasa tumelima na tunauza kila kitu lakini tunabakiza akiba ya familia.
Hebu msikilize waziri msituchoshe
 
Maslai ya watanzania yako kwenye chakula ilo ata serikal inalijua haina haja ya kuwapa ushauri

Mtanzania akikosa msosi utaona uzuri na ubaya wake na ata mapinduzi wanayongelea kla sku wanasiasa yatawezeka sku watanzania wakikosa ugari
Ukimwambia Mtz suala la mafuta, sjui bei za bando wala hawakuelew ila subili mahindi yapande bei uzi km izi zinakua ming sana
 
Habari njema kwa wafanyabiashara wa Mahindi.

Tunauza mahindi kwa bei nafuu sana.

Mahindi tunauza kwa kila kilo sh 960

Tunaanza kuuza kuanzia gunia 300 na kilogram moja ni shingap 960, gunia moja ni shilingi elfu 96000
gunia linakilo 100

Hata ukitaka tan 2000 na kuendelea yapo

Karibu sana. Tupigie 0687982385
 
Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje

Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Nenda kalime shamba lako ili serikali idhibiti mahindi kwenda nje. Nenda kalime shamba la mahindi ili uweze kupata chakula chako. Acha kila mmoja Aamue Kwa kupeleka mahindi Ya jasho lake
 
Ifahamike kuwa mahindi yanaenda kenya ila wakulima hawanufaiki kivile, wanaonufaika ni wafanyabiashara wanaozukuka na magari kununua mahindi kwa bei rahisi na kuyauza ghali.
Wewe kinakuuma nini kama hawanufaiki. Kama unahisi kuna Njaaa nenda ukalime chakula chako mwenyewe.. Acha wanaotaka kuuza wauze..kwani wewe ndio msemajj wa wakulima
 
Ifahamike kuwa mahindi yanaenda kenya ila wakulima hawanufaiki kivile, wanaonufaika ni wafanyabiashara wanaozukuka na magari kununua mahindi kwa bei rahisi na kuyauza ghali.
Broo kijiiini kwetu mkulima ananufaika Sana tu mkuu . Debe anauza elfu 15. Tena mwaka huu tumenufaika kuliko miaka miwili nyuma
 
Na bado Kampala inategemea kulishwa mchele na Kahama,Ifakara na mpanda.

Wakulima kama wangekuwa ndio wauzaji wa moja kwa moja wangenufaika sana na mazao yao bahati mbaya madalali na wafanyabiashara ndio wanufaika wa hali ya sasa.
Hivi unajua chain of supply (value chain) ?
Kwa taarifa yako mwaka huu bonde letu la kilombero wakulima tumenufaika Sana kuliko miaka miwili ya nyuma . Acheni tupate faida mbona miaka ya nyuma Bei ilivyoshuka wakulima tulipambana wenyewe ? Wenzetu mlibaki kimya kwanini hamkutusemea?
 
Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje

Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Huyu mama asipotumia akili ya kawaida ya binadamu Watanzania kwa mara ya kwanza tutakufa kwa njaa. Tumemsikia Waziri wake Bashe akithibitisha kuwa mipaka haitofungwa kwa biashara ya nafaka hasa mahindi na mchele. Baya zaidi wafanyabiashara toka nchi za jirani wanakwenda hadi vijijini kwa wa kulima kununua mazao. Jambo ambao ni kinyume cha kanuni tulizojiwekea kwa tawala zilizopita. Mama amka Waziri wako kwa hili anafanya makosa yatakayo kugharimu 2025 si mbali.
 
Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje

Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Tafuta shamba lako ukalime ujiweke
Chakula

Ova
 
Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje

Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
Kulima alime yeye pembe jeo anunue yeye leo hii pa kuhuzia apangiwe duh
 
Back
Top Bottom