kolelosi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 814
- 1,940
Sasa kwani mie nimepinga nini hapo?Hivi unajua chain of supply (value chain) ?
Kwa taarifa yako mwaka huu bonde letu la kilombero wakulima tumenufaika Sana kuliko miaka miwili ya nyuma . Acheni tupate faida mbona miaka ya nyuma Bei ilivyoshuka wakulima tulipambana wenyewe ? Wenzetu mlibaki kimya kwanini hamkutusemea?
Mie si nimeeleza uhalisia wanaonufaika zaidi ni hao watu wa kati hapo