OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD.
Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.
Hata mwezi haijapita dege lingine limeshindwa kutua Bukoba. Sasa serikali inahusikaje, kwani mama ndio rubani?!
Majaliwa aalikwe JF aje kupongezwa