Serikali iendelee na sherehe za kumpongeza Majaliwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
MAJALIWA.jpg

Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD.

Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.

Hata mwezi haijapita dege lingine limeshindwa kutua Bukoba. Sasa serikali inahusikaje, kwani mama ndio rubani?!

Majaliwa aalikwe JF aje kupongezwa
 
Wameshaanza kusema eti hata mlango hakufungua yeye bali engineer mmoja ambaye alikuwa abilia na kuuzuia watu watoke..... pia kwa ndani ni wale wahudumu ndiyo waliufungua.

Mwacheni dogo jamani, kama ni dodo basi kashaokota maneno mengi ya nini sasa.
Huyu shujaa wa mchongo bado drama zinaendelea tu[emoji3061]
 
Kila aendapo asisahau lile "KASIA" lililofungulia lango la NDEGE!!!!

Ila Dogo amebadili upepo wa Majaliwa bungeni adi Raha!!!!
 
View attachment 2419623

Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD.

Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.

Hata mwezi haijapita dege lingine limeshindwa kutua Bukoba. Sasa serikali inahusikaje, kwani mama ndio rubani?!

Majaliwa aalikwe JF aje kupongezwa
This is nonsense and stupid!
 
Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.[emoji23]
 
Serikali mufilisi hufanya mambo ya kipuuzi sababu haina jambo la msingi la kuipa jamii.
 
Hivi huyu dogo anapata usingizo kweli?
Ila RC ni mpumbavu
Demi I love you
Nikiiona hiyo avatar namkumbuka kuna binti ana muonekano huohuo. Dah! Mtoto wa kinyamwezi nimemkumbuka sana. Wish I could turn back the hands of time. Those were the days 😥
 
Back
Top Bottom