OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wameshaanza kusema eti hata mlango hakufungua yeye bali engineer mmoja ambaye alikuwa abilia na kuuzuia watu watoke..... pia kwa ndani ni wale wahudumu ndiyo waliufungua.Acheni kumsagia kunguni dogo, ahh!
Huyu shujaa wa mchongo bado drama zinaendelea tu[emoji3061]Wameshaanza kusema eti hata mlango hakufungua yeye bali engineer mmoja ambaye alikuwa abilia na kuuzuia watu watoke..... pia kwa ndani ni wale wahudumu ndiyo waliufungua.
Mwacheni dogo jamani, kama ni dodo basi kashaokota maneno mengi ya nini sasa.
inanikubusha kisa cha yule mlevi mfupi..aliyepata umaarufu wa ghafla afu ukapotea.nchi ya kipunguani sana hii, ni laana kuzaliwa Tz
This is nonsense and stupid!View attachment 2419623
Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD.
Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.
Hata mwezi haijapita dege lingine limeshindwa kutua Bukoba. Sasa serikali inahusikaje, kwani mama ndio rubani?!
Majaliwa aalikwe JF aje kupongezwa
Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.[emoji23]View attachment 2419623
Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD.
Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.
Hata mwezi haijapita dege lingine limeshindwa kutua Bukoba. Sasa serikali inahusikaje, kwani mama ndio rubani?!
Majaliwa aalikwe JF aje kupongezwa
Dogo hana shida ila serikali inavyo behave kitoto kwenye hili swala la Majaliwa inachefua.Acheni kumsagia kunguni dogo, ahh!
Hilo kasia likawekwe makumbusho ya taifa kama kumbukumbu ya uokozi wa aina yake duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila aendapo asisahau lile "KASIA" lililofungulia lango la NDEGE!!!!
Ila Dogo amebadili upepo wa Majaliwa bungeni adi Raha!!!!
Sasa hao wataozaliwa wananyonyeshwa na nani??Ili hii laana itoke kwenye hii nchi inatakiwa wote tufe kwa wakati mmoja halafu wazaliwe wengine kwa wakati mmoja.
Demi I love youHivi huyu dogo anapata usingizo kweli?
Ila RC ni mpumbavu