Hivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua kuutumia vizuri kujinufaisha kimatokeo. Pili uwanja wa Mkapa huko katikati ya jiji la Dar es Salaam, unafikika kirahisi na watu wa Mikoani na watu wa visiwani zanzibar tofauti na Uwanja wa Zanzibar ambao ni mpaka watu wavuke maji kwenda kutizama kabumbu. Kama ni kweli Mechi inatakiwa ipate mashabiki wengi basi Lupaso ndio uwanja pekee hapa Tanzania unaoweza kufanya fainali iwe ya kihistoria.
Tunajua timu ya Berkane tayari wapo kwenye wasiwasi wa kuutumia uwanja wa Mkapa kwa vigezo kuwa Simba uwa ni Timu hatari sana ikiwa pale Lupaso hivyo wanalazimika kutumia kila mbinu kulazimisha uwanja wa Zanzibar ndio utumike, jambo ambalo halikubaliki. Sisi ndio tuamue Simba icheze wapi kwa kuwasilisha viwanja vyenye ubora unaohitajika na Mkapa tayari imekidhi vigezo hivyo kwa kufanyiwa ukarabat wa hali ya kiwango cha juu (Wasukuma wanasema kiwango cha lami)
Hivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.
Simba Ina kosa gani sasa hapa😀Laana ya kuinyima haki Yanga.
Malipo ni hapahapa duniani
Simba wanaogopa nini kucheza new amanKwa hiyo walienda hadi kukagua kimya kimya? Kama kwa mkapa pana shida tukacheze hata rwanda wenye kuamua ni simba wao caf wata certify tu.
Huwajui caf vizuri wewe wakiamua lao wanakuvusha ukacheze hata south AfricaHivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.
Ushaambiwa Kwa mkapa ni shamba la mpunga na wote tuliona mechi na Al masry Sasa washauri serikali Ili mechi ipelekwe Rwanda huwajui caf wakiamua laoIende Rwanda kwani Tanzania kuna vita au Mkapa imekuwa uwanja wa chandimu... au siku hizi simba ni AS Kigali au APR FC timu za Rwanda
Si kuogopa bali maamuzi ni juu yetu na wao ni kuthibitisha.Simba wanaogopa nini kucheza new aman
Uwanja wa nyumbani ukiwa mbovu kama shamba la mpunga ndio ulazimishe kucheza unafikiri inacheza simba peke yake hapo uwanjani kwamba ni mazoezi ya simba?Uwanja wa nyumbani wa Simba ni Mkapa na si New Amani... kibiashara na kiufungaji wa mechi ya mwisho... Mkapa ndio panafaaa... mashabiki wengi wa mpira wako bara
Anzisha kombe lako ufanye hayo maamuzi sio kwenye makombe ya watuSi kuogopa bali maamuzi ni juu yetu na wao ni kuthibitisha.
Kwani al hilal wakati anacheza hapa alipangiwa na caf? Si aliomba nao wakakubali?
Kwa akili hizi Watanzania tusahau kupata katiba mpya.Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua kuutumia vizuri kujinufaisha kimatokeo. Pili uwanja wa Mkapa huko katikati ya jiji la Dar es Salaam, unafikika kirahisi na watu wa Mikoani na watu wa visiwani zanzibar tofauti na Uwanja wa Zanzibar ambao ni mpaka watu wavuke maji kwenda kutizama kabumbu. Kama ni kweli Mechi inatakiwa ipate mashabiki wengi basi Lupaso ndio uwanja pekee hapa Tanzania unaoweza kufanya fainali iwe ya kihistoria.
Tunajua timu ya Berkane tayari wapo kwenye wasiwasi wa kuutumia uwanja wa Mkapa kwa vigezo kuwa Simba uwa ni Timu hatari sana ikiwa pale Lupaso hivyo wanalazimika kutumia kila mbinu kulazimisha uwanja wa Zanzibar ndio utumike, jambo ambalo halikubaliki. Sisi ndio tuamue Simba icheze wapi kwa kuwasilisha viwanja vyenye ubora unaohitajika na Mkapa tayari imekidhi vigezo hivyo kwa kufanyiwa ukarabat wa hali ya kiwango cha juu (Wasukuma wanasema kiwango cha lami)
Hivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.
Nishajua najadili na nani, asante!.Anzisha kombe lako ufanye hayo maamuzi sio kwenye makombe ya watu
Utawaponza makolo wenzio, ohooo. Hiyo siyo kariakoo debi ujueSerikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua kuutumia vizuri kujinufaisha kimatokeo. Pili uwanja wa Mkapa huko katikati ya jiji la Dar es Salaam, unafikika kirahisi na watu wa Mikoani na watu wa visiwani zanzibar tofauti na Uwanja wa Zanzibar ambao ni mpaka watu wavuke maji kwenda kutizama kabumbu. Kama ni kweli Mechi inatakiwa ipate mashabiki wengi basi Lupaso ndio uwanja pekee hapa Tanzania unaoweza kufanya fainali iwe ya kihistoria.
Tunajua timu ya Berkane tayari wapo kwenye wasiwasi wa kuutumia uwanja wa Mkapa kwa vigezo kuwa Simba uwa ni Timu hatari sana ikiwa pale Lupaso hivyo wanalazimika kutumia kila mbinu kulazimisha uwanja wa Zanzibar ndio utumike, jambo ambalo halikubaliki. Sisi ndio tuamue Simba icheze wapi kwa kuwasilisha viwanja vyenye ubora unaohitajika na Mkapa tayari imekidhi vigezo hivyo kwa kufanyiwa ukarabat wa hali ya kiwango cha juu (Wasukuma wanasema kiwango cha lami)
Hivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.
SawaNishajua najadili na nani, asante!.
Huyo anaongea asichokijua caf wanafuatilia Kila kitu wakiona tu serikali imeingilia huchelewi kusikia game imehamishiwa hata RwandaUUt
Utawaponza makolo, ohooo. Hiyo siyo kariakoo debi ujue