Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
- Thread starter
- #41
Muda mwingine ni bora kutuliza hizo kende kuliko ku-comment ushuziHizi ndio akili za kipuuzi zilizojaa vichwani mwa watanzania wengi chini ya utawala wa CCM.
Yaani badala ya kuichimbisha serikali hii kwa huu uzembe ili waziri, naibu waziri, katibu wa wizara au mwingine yoyote awajibishwe kwa uzembe wewe unalazimisha serikali ifanye mambo ya kihuni kihuni.
Serikali imerekebisha uwanja na drainage ya maji, wameshatoa mrejesho na umetumia CAF... sasa tuiadabishe Serikali kwa lipi... Alafu kwani ni lazima mimi tu ndio niiadabishe Serikali? Wewe unashindwa nini kuiadabisha? Kuwa mfano badala ya kusikilizia wenzako, iadabishe wewe hiyo Serikali, mimi nitakuja kukusapoti. Alafu kitu kingine mambo ya kihuni ndio muda mwingine uleta matarajio chanya, wewe ulitaka labda tuishauri nini Serikali wakati uwanja tayari upo kwenye maandalizi ya mwisho