Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Hizi ndio akili za kipuuzi zilizojaa vichwani mwa watanzania wengi chini ya utawala wa CCM.Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua kuutumia vizuri kujinufaisha kimatokeo. Pili uwanja wa Mkapa huko katikati ya jiji la Dar es Salaam, unafikika kirahisi na watu wa Mikoani na watu wa visiwani zanzibar tofauti na Uwanja wa Zanzibar ambao ni mpaka watu wavuke maji kwenda kutizama kabumbu. Kama ni kweli Mechi inatakiwa ipate mashabiki wengi basi Lupaso ndio uwanja pekee hapa Tanzania unaoweza kufanya fainali iwe ya kihistoria.
Tunajua timu ya Berkane tayari wapo kwenye wasiwasi wa kuutumia uwanja wa Mkapa kwa vigezo kuwa Simba uwa ni Timu hatari sana ikiwa pale Lupaso hivyo wanalazimika kutumia kila mbinu kulazimisha uwanja wa Zanzibar ndio utumike, jambo ambalo halikubaliki. Sisi ndio tuamue Simba icheze wapi kwa kuwasilisha viwanja vyenye ubora unaohitajika na Mkapa tayari imekidhi vigezo hivyo kwa kufanyiwa ukarabat wa hali ya kiwango cha juu (Wasukuma wanasema kiwango cha lami)
Hivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.
Kwani Cafu ule Uwanja wa Amani ni wa kwao? Na Simba pia ule Uwanja siyo wa kwao kwahiyo Serikali inaweza kusema una matumuzi mengi kwa siku hiyo.Serikali kuingiliaingilia mpira hairuhusiwi.
CAF wakiamua wameamu wale sio TFF.
Mechi inahamishiwa Rwanda huijui caf vizuriKwani Cafu ule Uwanja wa Amani ni wa kwao? Na Simba pia ule Uwanja siyo wa kwao kwahiyo Serikali inaweza kusema una matumuzi mengi kwa siku hiyo.
Tatizo wanataka kuweka siasa kwenye mambo ya kitaalam, Mkapa stadium haijakidhi vigezo ndio maana ikahamishiwa Amaan, au unahisi CAF hawana akili mkuu.Kwani Cafu ule Uwanja wa Amani ni wa kwao? Na Simba pia ule Uwanja siyo wa kwao kwahiyo Serikali inaweza kusema una matumuzi mengi kwa siku hiyo.
Hakuna cha Rwanda wala Kenya au kokote kule, mechi zote mbili zitaishia kupigwa pale pale Morocco.Mechi inahamishiwa Rwanda huijui caf vizuri
Hata mimi nimeona mkuu.Kwa akili hizi Watanzania tusahau kupata katiba mpya.
CAF sio TFFSerikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua kuutumia vizuri kujinufaisha kimatokeo. Pili uwanja wa Mkapa huko katikati ya jiji la Dar es Salaam, unafikika kirahisi na watu wa Mikoani na watu wa visiwani zanzibar tofauti na Uwanja wa Zanzibar ambao ni mpaka watu wavuke maji kwenda kutizama kabumbu. Kama ni kweli Mechi inatakiwa ipate mashabiki wengi basi Lupaso ndio uwanja pekee hapa Tanzania unaoweza kufanya fainali iwe ya kihistoria.
Tunajua timu ya Berkane tayari wapo kwenye wasiwasi wa kuutumia uwanja wa Mkapa kwa vigezo kuwa Simba uwa ni Timu hatari sana ikiwa pale Lupaso hivyo wanalazimika kutumia kila mbinu kulazimisha uwanja wa Zanzibar ndio utumike, jambo ambalo halikubaliki. Sisi ndio tuamue Simba icheze wapi kwa kuwasilisha viwanja vyenye ubora unaohitajika na Mkapa tayari imekidhi vigezo hivyo kwa kufanyiwa ukarabat wa hali ya kiwango cha juu (Wasukuma wanasema kiwango cha lami)
Hivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.
Mtasababisha Mechi ipelekwe Tunisia Kwa akili hizi za RC wa Simiyu.Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ishirikiane na TFF na bodi zote na taasisi zinazohusika kuutafutia matumizi ya dharula uwanja wa Zanzibar hili Mechi ipigwe Lupaso kwa maana ya uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwanza Simba imeuzoea sana uwanja wa Benjaminj Mkapa kiasi kwamba wanajua kuutumia vizuri kujinufaisha kimatokeo. Pili uwanja wa Mkapa huko katikati ya jiji la Dar es Salaam, unafikika kirahisi na watu wa Mikoani na watu wa visiwani zanzibar tofauti na Uwanja wa Zanzibar ambao ni mpaka watu wavuke maji kwenda kutizama kabumbu. Kama ni kweli Mechi inatakiwa ipate mashabiki wengi basi Lupaso ndio uwanja pekee hapa Tanzania unaoweza kufanya fainali iwe ya kihistoria.
Tunajua timu ya Berkane tayari wapo kwenye wasiwasi wa kuutumia uwanja wa Mkapa kwa vigezo kuwa Simba uwa ni Timu hatari sana ikiwa pale Lupaso hivyo wanalazimika kutumia kila mbinu kulazimisha uwanja wa Zanzibar ndio utumike, jambo ambalo halikubaliki. Sisi ndio tuamue Simba icheze wapi kwa kuwasilisha viwanja vyenye ubora unaohitajika na Mkapa tayari imekidhi vigezo hivyo kwa kufanyiwa ukarabat wa hali ya kiwango cha juu (Wasukuma wanasema kiwango cha lami)
Hivyo basi sisi kama wanalunyasi, wanamsimbazi, wekundi wa msimbazi tunaomba Mechi ipigwe Mkapa iwe kwa namna yoyote na uwanja wa Zanzibar utafutiwe sababu yeyote ya Dharula hili husitumike. Utafutiwe shughuli ya maana ikiwezekama mwezi mzima, apelekwe hata Mwaposa akeshe hapo mwezi mzima. Hii inawezekana kwa sababu mpira sio uwanjani tu, ushindi utafutwa toka nje ya uwanja.
Hivi fainal zingekuwa kama UEFA au EUROPA mechi moja kwenye Neutral ground si mngegoma? Mpira ukijua unaujua haijalishi mnacheza eneo gani.Uwanja wa nyumbani wa Simba ni Mkapa na si New Amani... kibiashara na kiufungaji wa mechi ya mwisho... Mkapa ndio panafaaa... mashabiki wengi wa mpira wako bara
Wajinga waliharibu uwanja siku ya mechi yao na mwarabu wakasingizia mvuaNadhani mmepata fundisho siku ingine mtaelewa maana ya Mpira hao ndio CAF.
Mtajikuta mnaenda Rwanda au Uganda, CAF ni chombo kinacho jitegemea kimaamuzi,hakikurupuki na sizani kwa sasa kama kina muda wa kutuma wakaguzi sababu ndani ya wiki hizi mbili akili yao zipo kwenye mechi hizi nne za fainali (Confederation na Championship).Halafu mpira ukiujua unaujua tu hajalishi unacheza wapi,Kwani Cafu ule Uwanja wa Amani ni wa kwao? Na Simba pia ule Uwanja siyo wa kwao kwahiyo Serikali inaweza kusema una matumuzi mengi kwa siku hiyo.
Wewe kila muda katiba mpya, utafikiri hatuna mambo mengine ya kufanya... katiba mpya itapiganiwa, ila kwenye hili la fainali acha nalo tulizungumzieKwa akili hizi Watanzania tusahau kupata katiba mpya.