Muda mwingine ni bora kutuliza hizo kende kuliko ku-comment ushuzi
Serikali imerekebisha uwanja na drainage ya maji, wameshatoa mrejesho na umetumia CAF... sasa tuiadabishe Serikali kwa lipi... Alafu kwani ni lazima mimi tu ndio niiadabishe Serikali? Wewe unashindwa nini kuiadabisha? Kuwa mfano badala ya kusikilizia wenzako, iadabishe wewe hiyo Serikali, mimi nitakuja kukusapoti. Alafu kitu kingine mambo ya kihuni ndio muda mwingine uleta matarajio chanya, wewe ulitaka labda tuishauri nini Serikali wakati uwanja tayari upo kwenye maandalizi ya mwisho