Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
- Thread starter
- #21
Mbunge awe na Shahada ya pili..chama husika kifanye uteuzi kwa umakini kwa kuhakikisha chama kinapata mgombea sahihi na mwenye uwezo.Labda mabadiliko yawe asiyechangia asilipwe posho lakini kwa Tanzania ni vigumu kumtofautisha mwenye elimu na asie na elimu tena nakuta profesa mzima anatapika utumbo mpaka unabaki kinywa wazi.