Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
- Thread starter
- #41
SawasawaFirst degree ni elimu standard kwa mambo mengi lakin kuondoa class 7 bungeni ni Jambo Jema angalau mbunge awe na first degree. Ingefaa Kwa elimu ya master iwe kwenye specific vitengo/idara kuanzia level za halmashauri na sio kwenye kata. Kwenye Kata hiyo ni elimu kubwa mno tena kubwa mno. Pia kuwe na mshahara wa master ingefaa mfumo ulipo mwenye master anapata increment mbili tuu tena Kwa shida mno. Wengi hizo increment hawazipati kabisa