Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania

Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo

Events nyingi recently zimekua zikifanyikia kigali kwa sababu wana indoor arena watu wengi wana-prefer kigali ila tukiwa na indoor arena itakua ni rahisi kuvutia events nyingi

Wako watakaosema ni gharama bali ni kitu ambacho kinawezekana kama nia ikiwepo
Team Dennis 255713520180
 
wazo makini sana👿 ikiwezekana zijengwe hata mikoa mingine chipukizi ila yenye tija kama Njombe
 
Back
Top Bottom