DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mke wake,watoto,na ndg zake hawajaonesha shaka ya kifo ,wanajua undani wa ugonjwa wa mtu wao.
Sasa wapuuzi ndio wanataka kutuweka bize na mambo ya kijinga
 
kifo cha baba yako Nacho kilichunguzwa na nani? au sababu yeye ni ng'ombe
 
Hali inaonesha watu kuwa na mashaka sana kwa kifo chake. Nadhani ni vyema ikafanyiwa follow up nini hasa kilitokea kupelekea kifo chake.

Sawa kifo ni kifo tu. Lakini kuna mambo yanaenda namna ambayo inaleta mashaka sana.
Ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…