Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu, hadi mama naye analindwa na intarahimwe?Kama Nyerere alinusurika kupinduliwa na wabongo wenyewe zaidi ya mara 8 unaweza kuwaamini mbongo
Ikulu inalindwa na wanajeshi kutoka nje ya nchi zaidi ya mia Tano. Halafu unaanzaje kuwaamini wabongo
Ulinzi wa mtu unaanza na mtu mwenyewe na Mungu wake.
Hii trash sijaisoma ila wafe tu. "Kifo ni kifo tu"Ndugu zangu Watanzania,
Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona ni kawaida.Mungu ametupatia akili kwa ajili ya kufikiri na kufanya tafakari kwa msaada wake Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe hii ni Dunia yenye vita vya kila aina ikiwepo kuhujumiana,kudhoofishana na kumalizana kwa kila mbinu .ambavyo vinakuwa vinafanywa kwa akili na maarifa ya hali ya juu sana na kufanywa na watu wenye akili za hali ya juu sana na ambao wapo kwa ajili ya kazi hiyo tu na wamefundishwa na kuivishwa kisawasawa.
Ifahamike kuwa wakati Mwingine kama Taifa linaweza kumalizwa na kutafunwa kama ugonjwa wa kansa kwa kumalizwa viongozi wake hasa wale wenye maono,akili kubwa,upeo,maarifa na ufahamu mkubwa wa masuala mbalimbali.watu wanaweza wakawa wanamaliza viongozi na watu wako muhimu pasipo wewe kujua .unapokuja kushituka ni wakati huna uwezo wa kusimama tena kukabiliana na hujuma hizo kwa sababu unakuwa tayari umepoteza watu wote wale wa muhimu.
Hivyo ni muhimu sana tuanze utaratibu wa kufanya uchunguzi wa vifo vya watu wa muhimu au viongozi pale inapotokea vifo vya ghafla na vyenye kutatanisha ili kuweza kujua ni vifo vya Mungu au vyenye mikono ya Binadamu. Kumbukeni hapa Majuzi tu tumepoteza kiongozi mashuhuri na muhimu sana hapa Nchi ambaye ni Mafuru.na sasa tumempoteza mwingine mtu wa muhimu sana kwa Taifa letu Dkt Faustine Ndugulile.
Lakini tujiulize huko India tumepeleka viongozi wetu wangapi katika kumbukumbu zetu na wangapi wamepoteza Maisha. Ni wakati wa kufumbua macho sasa kama Taifa kwa idara zetu za Ujasusi ndani na nje ya Nchi katika ulinzi wa viongozi wetu muhimu na watu muhimu.maana kuhujumiwa unaweza kuhujumiwa kwa njia mbalimbali ikiwepo hata wafanyabiashara wako wakubwa na wenye mitaji mikubwa na wenye mchango mkubwa kwa Taifa kupotezwa.
Lakini ni wakati pia wa kumuangalia Dkt Tulia kwa jicho la kijasusi zaidi kwa kujua kuwa anawakilisha Taifa letu huko Nje ya Nchi.hivyo ni Muhimu kumuongezea ulinzi zaidi awapo ndani na nje ya Nchi.Maana ikumbukwe ya kuwa hata katika kugombea hakugombea peke yake na hivyo siyo kila mmoja anapenda kuona Taifa fulani likiwa linang'ara katika nafasi za kimataifa kama ambavyo ilikuwa tumepata kwa Dkt Faustine Ndugulile kuongoza WHO kanda ya Afrika pamoja na kuwa na Dkt Tulia upande wa IPU.
Kwa hiyo kwa nafasi ambazo watanzania wanapata kuongoza taasisi za kimataifa tuhakikishe tunaongeza ulinzi ikiwepo kwa yule ambaye yupo kwenye masuala ya Fedha. Tukilala unaweza shangaa unafanyiwa hujuma na kupigwa mapigo makubwa makubwa mahali panapouma na kuacha majeraha,mapengo na alama zisizofutika wala kuzibika.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huna akiliHii trash sijaisoma ila wafe tu. "Kifo ni kifo tu"
Wewe ndio huna akili hata nusu kijiko. "Mnataka faraja ikiwa mna ua wenzenu" tutakufa wote man Mungu hapa alijua kuweka usawa kwenye kifo.Huna akili
Acha matusi hapaWewe ndio huna akili hata nusu kijiko. "Mnataka faraja ikiwa mna ua wenzenu" tutakufa wote maninaaaaaah Mungu hapa alijua kuweka usawa kwenye kifo.
Unayajua matusi..?Acha matusi hapa
😀Mzee Kibao mlifikia wapi ?
Toa hoja, acha matusiHuna akili mbuzi wewe. Uchawa umekukaa hadi makalioni. Unawaza ujinga muda wote
na hiyo ni hoja..Toa hoja, acha matusi
Upo vizuri Mkuu 😂na hiyo ni hoja..
Asante sanaUpo vizuri Mkuu 😂
Huyo sio ccm.Mzee Kibao mlifikia wapi ?
Nilipambana na kina Rweikiza wakatulia na Genge lake.... Tutawezana.Huyo sio ccm.
Utawaweza majongoo ya ccm?
Matusi siyo hoja.na hiyo ni hoja..
Kufa ni kufa mtu ukifa hospital au ukitekwa na wauaji ni sawa kwa mujibu qa Jezebel the queenKumbe kuna siku ambayo siyo ya haki na mtu akafa? Inakuwaje mkuu