Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #181
Wameshikiliwa wapi?Waachieni akina Soka na wenzake kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshikiliwa wapi?Waachieni akina Soka na wenzake kwanza
Toa ujinga wako hapa upeleke kwa wajinga wenzako huko.We mpumbavuu huu uropokaji siku si nyingi utakugharinu
CCM inapita na kushinda kihalali kabisa na kwa hakiKwa hiyo unawakwaza watu kwa makusudi halafu unawasamehe tena uliowakwaza badala ya wao kukusamehe wewe.
Hivi ni kweli hujui kwamba unaumiza mioyo ya watu kwa mada zako sijui za uchunguzi wa kifo, mara ccm imeshinda kihalali wakati sote tunajua wizi uliotumika. Hivi unadhani watanzania wapumbavu hivyo?
Mbona umeamua kuwa upande wa watesi. Hujui hata Mungu unamuudhi?.
Pole yako Luka lakini jisahihishe ndugu yangu. Naona una dalili za kumwabudu Mungu. Lakini nakuhakikishia kwamba si rahisi kwa mwana ccm kumwona Mungu wa mbinguni kutokana na uchafu, wizi wa kura nk... Ukitaka kwenda motoni kirahisi, baki hapo hapo. Endeleeni kuiba kura na uchaguzi ukiisha nendeni kwa Mungu mkatubu kama alivyosema Nape maana Mungu ni shangazi yenu.
Mimi ni mkulima.au unataka mtu awe na matope usoni ndio Ujuwe ni mkulima?Wewe ni mpuuzi fulani tu wala si mkulima.
Kuwa tu kwenye eneo fulani kuwazidi wenzako tayari unakuwa upo kwenye vita na baadhi ya watu ambao unakuta walikuwa wanatamani wao ndio wangekuwa hapo.ndio maana hata ungekuwa mwema vipi lakini bado huwezi kupendwa na kila mtu.Kwani waliwahi kuwa na ugomvi na yeyote hata uwe na mashaka?
Jaribu kuwa na adabu dogo.Mkulima wapi ni PS wa UWT, hakuna mkulima mjinga na shetani kama huyu pundamlia
WeweU
Jaribu kufikiri sawasawa unasema serikali ichunguze vifo vya watu muhimu, ivi ni nani nchi hii sio wa muhimu ?
Toa ujinga wako hapa upeleke kwa wajinga wenzako huko.
Niondolee uchizi wako hapa .au unafikiri nchi hii Ni ya familia yako?Laiti ungalijua unaongea na Nani ungeelewa, wewe mpumbavu umeanza kulewa Sifa. Ila woo mda zitakupeleka kubaya!
# acha upumbavu ndogo wangu!
Inasoma kweli lakini kwa kukosea!!! Saa moja asubuhi yenyewe inaonesha saa saba mchana!! I 😁😁 Si bado mbovu hiyo?Kumbe kuna wakati saa mbovu inasoma majira?
Kwani wamesema chanzo cha kifo chake? BTW kuna yule shujaa wenu mbona hakwenda hata hapo Malawi aliishia kutibiwa Muhimbili akahifadhiwa makumbusho kwa Mzena?Ndugu zangu Watanzania,
Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona ni kawaida.Mungu ametupatia akili kwa ajili ya kufikiri na kufanya tafakari kwa msaada wake Mungu Mwenyewe.
Ikumbukwe hii ni Dunia yenye vita vya kila aina ikiwepo kuhujumiana,kudhoofishana na kumalizana kwa kila mbinu .ambavyo vinakuwa vinafanywa kwa akili na maarifa ya hali ya juu sana na kufanywa na watu wenye akili za hali ya juu sana na ambao wapo kwa ajili ya kazi hiyo tu na wamefundishwa na kuivishwa kisawasawa.
Ifahamike kuwa wakati Mwingine kama Taifa linaweza kumalizwa na kutafunwa kama ugonjwa wa kansa kwa kumalizwa viongozi wake hasa wale wenye maono,akili kubwa,upeo,maarifa na ufahamu mkubwa wa masuala mbalimbali.watu wanaweza wakawa wanamaliza viongozi na watu wako muhimu pasipo wewe kujua .unapokuja kushituka ni wakati huna uwezo wa kusimama tena kukabiliana na hujuma hizo kwa sababu unakuwa tayari umepoteza watu wote wale wa muhimu.
Hivyo ni muhimu sana tuanze utaratibu wa kufanya uchunguzi wa vifo vya watu wa muhimu au viongozi pale inapotokea vifo vya ghafla na vyenye kutatanisha ili kuweza kujua ni vifo vya Mungu au vyenye mikono ya Binadamu. Kumbukeni hapa Majuzi tu tumepoteza kiongozi mashuhuri na muhimu sana hapa Nchi ambaye ni Mafuru.na sasa tumempoteza mwingine mtu wa muhimu sana kwa Taifa letu Dkt Faustine Ndugulile.
Lakini tujiulize huko India tumepeleka viongozi wetu wangapi katika kumbukumbu zetu na wangapi wamepoteza Maisha. Ni wakati wa kufumbua macho sasa kama Taifa kwa idara zetu za Ujasusi ndani na nje ya Nchi katika ulinzi wa viongozi wetu muhimu na watu muhimu.maana kuhujumiwa unaweza kuhujumiwa kwa njia mbalimbali ikiwepo hata wafanyabiashara wako wakubwa na wenye mitaji mikubwa na wenye mchango mkubwa kwa Taifa kupotezwa.
Lakini ni wakati pia wa kumuangalia Dkt Tulia kwa jicho la kijasusi zaidi kwa kujua kuwa anawakilisha Taifa letu huko Nje ya Nchi.hivyo ni Muhimu kumuongezea ulinzi zaidi awapo ndani na nje ya Nchi.Maana ikumbukwe ya kuwa hata katika kugombea hakugombea peke yake na hivyo siyo kila mmoja anapenda kuona Taifa fulani likiwa linang'ara katika nafasi za kimataifa kama ambavyo ilikuwa tumepata kwa Dkt Faustine Ndugulile kuongoza WHO kanda ya Afrika pamoja na kuwa na Dkt Tulia upande wa IPU.
Kwa hiyo kwa nafasi ambazo watanzania wanapata kuongoza taasisi za kimataifa tuhakikishe tunaongeza ulinzi ikiwepo kwa yule ambaye yupo kwenye masuala ya Fedha. Tukilala unaweza shangaa unafanyiwa hujuma na kupigwa mapigo makubwa makubwa mahali panapouma na kuacha majeraha,mapengo na alama zisizofutika wala kuzibika.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naona umelewa pombe kupitiliza mpaka hujitambui kabisa unachokiandika hapaWewe tahira tuliza mahali pako pa kunyea.
Mbogamboga mnauana wenyewe halafu leo unataka uchunguzi.
Haya Bashite ndiye kamuua huyo kamkamate
Magufuli alikuwa na maadui wagapi na wenye uwezo kiasi gani, kiuchumi, kiitelenjesia, kimamlaka?
Je upande wa Faustine kwa haraka haraka maadui zake ni akinani je kiuwezo wakoje?
Ccm Huwa mnafirahi kuua wapinzaniNdugu zangu Watanzania,