Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji , vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa husika, madawa, mafuta na vinywaji wanavyopewa watoto wetu maeneo yote ya kulelea watoto na shule zote nchini