Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
na lile la juzi kigoma unaliongeleaje kama ulilishuhudia ktk luninga.Mtoa hoja mm ni mdau katika hili eneo ulilotaja!wewe siyo wa kwanza kukusikia ukiongea/ kuandika hivi.
Nikuambie tu kwamba haya mambo mnayakuza na kuyaprote sana.
Ieleweke kwamba vituo ulivyotajwa husajiliwa na serikali hata vya wageni kwa mujibu wa sheria ya mtto ya 2009 na vipo chini ya kamishna wa ustawi wa jamii/ afisa ustawi wa eneo husika. Hivyo kuna mashart mpaka visajiliwe. Hukaguliwa kila mwezi
Hao wageni hawatoki tu huko kwao na kuja kuanzisha vituo kiholela hapana vipo chini ya serikali
Vifaa vote ulivyotaja vipo pale kwa mujibu wa sheria
Kama kuna jambo baya linaendelea maafisa wakaguzi_ supervisors/ swos watajua na kuchukua hatua stahiki.
Nitakuambia mkuu tabia za binaadam siyo jumuishi mfano wote tunaweza kuwa walevi wa pombe lakini kila mtu akawa na tabia zake baada ya kulewa!na lile la juzi kigoma unaliongeleaje kama ulilishuhudia ktk luninga.
nimekuelewa ila ni vigumu kwa kila kituo kuwa na afisa ustawi wa jamii kwa kuwa ni wachache sana.Nitakuambia mkuu tabia za binaadam siyo jumuishi mfano wote tunaweza kuwa walevi wa pombe lakini kila mtu akawa na tabia zake baada ya kulewa!
Mifumo ya serilali ipo vizuri kabisa juu ya jambo hili. Naongea nikiwa na uhakika maana nimeifanyia kazi
Ila tabia za mtu mmoja mmoja ndiyo huleta changamoto.
Hoja yangu ni kwamba siyo kwamba serikali haiikagui vituo inakagua vizuri tu labda tupendekeze kwamba kwenye kila kituo pawe na afisa ustWi wa serikali
Watamkumbuka MakondaKweli
Vituo hivi ni biashara za watu, lazima uteteeNitakuambia mkuu tabia za binaadam siyo jumuishi mfano wote tunaweza kuwa walevi wa pombe lakini kila mtu akawa na tabia zake baada ya kulewa!
Mifumo ya serilali ipo vizuri kabisa juu ya jambo hili. Naongea nikiwa na uhakika maana nimeifanyia kazi
Ila tabia za mtu mmoja mmoja ndiyo huleta changamoto.
Hoja yangu ni kwamba siyo kwamba serikali haiikagui vituo inakagua vizuri tu labda tupendekeze kwamba kwenye kila kituo pawe na afisa ustWi wa serikali
Duh natetea tu kama mwanataaluma mkuuVituo hivi ni biashara za watu, lazima utetee