Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,602
- 6,754
Station ya Tabora itaitwa Ali Hassan Mwinyi, mwanza Nyerere, kigoma Mkapa, Tutaendelea kila stations hadi tuje kwa mawazir wa fedhaTunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.
Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.
Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.
Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au walikua na lengo la hiyo miradi kuitwa majina yao.
Ni unafiki na upambe wa walio chini yao kufanya kama kulipa fadhila kwa wateuzi wao.
Uzi tayari.
Mama ametoa hela zake kwanini isipewe majina anayoyataka yeye, mbona anayafurahia tu.Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.
Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.
Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.
Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au walikua na lengo la hiyo miradi kuitwa majina yao.
Ni unafiki na upambe wa walio chini yao kufanya kama kulipa fadhila kwa wateuzi wao.
Uzi tayari.
Kwenye shule wapo hadi akina salma kikwete, Makamba nk. Tuongelee kwenye strategic projects tuYani hamna hata uniqueness
Ilitakiwa ikitajwa mkapa basi aidha ni mkapa Rais mstaafu au uwanja wa mkapa, ila sasa utitiri wa wa mkapa mara shule mara hospital, mara daraja 🤔🤔
Alietuwangia alifanikiwa pakubwa maana akili zimegandiana pakubwa.
Hiyo hela katoa wapi?Mama ametoa hela zake kwanini isipewe majina anayoyataka yeye, mbona anayafurahia tu.