Serikali ifikirie kujenga trams DSM, Ddoma, Mwanza, Arusha, n.k

Serikali ifikirie kujenga trams DSM, Ddoma, Mwanza, Arusha, n.k

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Hivi kinachoishinda serikali kujenga miundombinu ya trams ni nini? nchi za wenzetu hii kitu imeanza miaka hata kabla hatujapata uhuru.
448859966_1026689079062414_5692785226238516220_n.jpg
 
Fikiria tu;

1. trams toka kivukoni hadi Kibaha

2. kwa dodoma, toka chamwino hadi msalato

3. toka airport mwanza pasiasi city centre hadi misungwi mjini.

4. trams toka soko matola mbeya hadi nsalaga

5. arusha kuna directions nyingi na uzungi mwingi wachague tu.
 
Mnataka kuwaondoa ma- boda boda na-mabajaji kwenye line zao
 
kwa dodoma, juzi nilienda mji wa magufuli, kuna majengo mengi ya serikali, mtu atoke msalato kule makao makuu ya jeshi na magereza, afike Mtumba au chamwino wilayani kwa haraka na usafiri unakuwa wa kimataia,
 
angalia tram kama hii kwa wenzetu, gharama yake na matengenezo unafikiri itakuwa garama ya maservice kama hizo mwendokasi zinazooza hadi wanataka kugawa kwa waarabu?

448859966_1026689079062414_5692785226238516220_n.jpg
 
Back
Top Bottom