kwa dodoma, juzi nilienda mji wa magufuli, kuna majengo mengi ya serikali, mtu atoke msalato kule makao makuu ya jeshi na magereza, afike Mtumba au chamwino wilayani kwa haraka na usafiri unakuwa wa kimataia,
angalia tram kama hii kwa wenzetu, gharama yake na matengenezo unafikiri itakuwa garama ya maservice kama hizo mwendokasi zinazooza hadi wanataka kugawa kwa waarabu?