Unalalamika wewe manabii wamekuibia nini?Hapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu.
serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.
Hii ni sawa na Sheikh kulawiti msikitini au wale masheikh wanaopunga Mapepo kwa kuwang'ata maamuma niliwaona kwenye muhadhara mmoja Morogoro. Hivyo ni vitu binafsi ambavyo havihusiani na Ukristo. Ukristo umejengwa kwenye mwamba imara ambalo ni Neno. Chochote kifanywacho kinyume cha Neno si cha Ukristo ni cha wazi wanaojifungamanisha na Ukristo.Kumekuchaa
Wapi hiyo? Twende utupeleke tukafanyiwe fumigation ya upakoKumekuchaa
Na hakuna anayekabwa kanisani. Kama anaona kuibia watu kama anavyosema yeye ni rahisi aone na yeye.Unalalamika wewe manabii wamekuibia nini?
Nakubaliana na wewe kwamba makanisa yapate usajili halali.Ila pia pia watu wenyewe wakiona kanisa linatoa masharti mepesi sana ya jinsi ya kufanikiwa wajue wanapigwa.Kwa Yesu haijawahi kuwa tambalale hata kidogo. Yaani umwagiwe vimaji tuu na vimafuta vya alizeti eti ndiyo biashara au ndoa ifanikiwe au mikosi iondoke.Yesu siyo Mungu cheap kihivyo.Kwa Yesu kuna masharti na vigezo kamili vya kufuata kumpata ili akutane na haja zako.Full stop.Kumekuchaa
Madrasa ipi na msikiti gani unaoibia watu mkuu!!Vipi kuhusu madrassa, Misikiti,
Ni sahihi mzee mwenzangu Buji. Nifahamuvyo Dunia inaendeshwa na Mambo mawili. Neno(Nabii) na Nyakati. Ni sahihi Mpinga Kristo atatoka Uarabuni na atakuwa muislamu na ndio atataua wakristo akidhani anafanyia ibada Mungu wake. Sasa wanasema uislamu unakuwa, ni kweli lazima ukue japo unakua kwa wao kuzaliana sana na baadaye utatawala dunia ndipo ataibuka "Masihi dajali" atakayejiinua na kujifanya ni Mungu. Kila kitu humu duniani kipo well "programmed katika Neno na Nyakati"Wapi hiyo? Twende utupeleke tukafanyiwe fumigation ya upako
Masanja hajawahi kusema yeye ni nabii.Mtu akilala akiamka tayari ni nabii!
Hii kitu inahitaji regulation, hadi Masanja!
Hawawaibii, wangekuwa wanaibiwa wangejaza vituo vya polisi wanatoa kwa hiari yao wakidhania wanapanda mbegu ili waje kuvuna zaidi. Wajinga ndio waliwao wache mpaka akili ziwakae sawa. Hao watu wana hela ya kutoa wao ndio matajiri subiri wamtajirishe nabii kwanza. Biblia imeandika ya kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Hapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu.
serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.
Mingi tu unajifanya hujui. Hujui kuwa huko mpaka kuna kulawiti watoto kama alivyofanya Muddy(56) dhidi ya Aisha(9). Sijui kwanini mnajitajihidi kujifungamanisha na kuona yale yafanywayo na watu wachache ndani ya ukristo ndio msimamo wa ukristo ila yale yafanywayo na mashehe na mustach sio ya uislamu?Madrasa ipi na msikiti gani unaoibia watu mkuu!!
Wanawavunjia nyumba wamefanya nini? Kwani mimi kuibiwa wewe inakuhusu nini mpaka nje nivunjia nyumba yangu? Hawavunji uzinzi, ufiraji, ulevi, uchawi na tamaa mbaya zilizopo mioyoni mwao wanavunja nyumba za wakristu. Very 🤣😂😂Matapeli kule tu zanzibar wanawavunjia mpaka nyumba ndo dawa yao..Upumbavu wakafanyie kwao huko.