Serikali ifunge makanisa yote ya uchochoroni ya manabii, wanaibia watanzania...

Serikali ifunge makanisa yote ya uchochoroni ya manabii, wanaibia watanzania...

Wanawavunjia nyumba wamefanya nini? Kwani mimi kuibiwa wewe inakuhusu nini mpaka nje nivunjia nyumba yangu? Hawavunji uzinzi, ufiraji, ulevi, uchawi na tamaa mbaya zilizopo mioyoni mwao wanavunja nyumba za wakristu. Very 🤣😂😂
🤣🤣 Wapumbavu kabisa ndo dawa yao.
 
Mingi tu unajifanya hujui. Hujui kuwa huko mpaka kuna kulawiti watoto kama alivyofanya Muddy(56) dhidi ya Aisha(9). Sijui kwanini mnajitajihidi kujifungamanisha na kuona yale yafanywayo na watu wachache ndani ya ukristo ndio msimamo wa ukristo ila yale yafanywayo na mashehe na mustach sio ya uislamu?
Mada ni kuibia watu,siyo ndoa,Maryam mama yake yesu miaka 12 tu ana mimba
 
🤣🤣 Wapumbavu kabisa ndo dawa yao.
Sawa vipi ulawiti, ushoga, ufiraji, wizi, wivu, mawazo mabaya, ulevi, zinaa, uuaji, uchawi, kutoa mimba n.k hayo hayana shida? Naomba nijifunze kwako, Duniani kuna dini nyingi sana kwanini uislamu ujifungamanishe na Ukristo? Kwanini uislamu unajenga uadui na ukristo na wala sio dini nyingine? Kuna wachawi, walozi, waganga na waganguzi. Kwanini uislamu haufanyi vita wala chukua hao ila wao na Ukristo tu? Nisaidie jibu hilo bro.
 
Mada ni kuibia watu,siyo ndoa,Maryam mama yake yesu miaka 12 tu ana mimba
Sawa, kwa hiyo ulawiti na ubakaji unaofanywa na mashehe na maustadhi huko kwenye madrassa ni sawa na ni kitu kizuri kuliko huko kuibiwa kwa watu unakosema kanisani? Je kuna mtu anakabwa huko kanisani na kulazimishwa kutoa fedha? Je kama wanaibiwa kwanini hawaendi shitaka Polisi?😜😜😜😜 Maamuma bwana mnasikitisha sana.
 
Mbona hata hayo ambayo yanatambulika ni smart na makongwe mwendo ni uleule? Tena yamebuni jumuiya ya waumini wao mitaani wanakutana kila wiki mwishoni. Tena kule waumini wanakamuliwa na kupewa risiti. By the way nchi hii ina uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa katiba yake kuyafuta hayo makanisa ni ukiukwaji wa katiba
 
Mingi tu unajifanya hujui. Hujui kuwa huko mpaka kuna kulawiti watoto kama alivyofanya Muddy(56) dhidi ya Aisha(9). Sijui kwanini mnajitajihidi kujifungamanisha na kuona yale yafanywayo na watu wachache ndani ya ukristo ndio msimamo wa ukristo ila yale yafanywayo na mashehe na mustach sio ya uislamu?
Punguza jazba mkuu,, kunywa maji kidogo!! Bado hujajibu hebu nitajie hata msikiti mmoja na madrasa zenye upigaji.
 
Sawa, kwa hiyo ulawiti na ubakaji unaofanywa na mashehe na maustadhi huko kwenye madrassa ni sawa na ni kitu kizuri kuliko huko kuibiwa kwa watu unakosema kanisani? Je kuna mtu anakabwa huko kanisani na kulazimishwa kutoa fedha? Je kama wanaibiwa kwanini hawaendi shitaka Polisi?😜😜😜😜 Maamuma bwana mnasikitisha sana.
Mada ni kuibia watu,uwe unaelewa,ukitaka mada ya liwati fungua Uzi tutachangia
 
Sawa vipi ulawiti, ushoga, ufiraji, wizi, wivu, mawazo mabaya, ulevi, zinaa, uuaji, uchawi, kutoa mimba n.k hayo hayana shida? Naomba nijifunze kwako, Duniani kuna dini nyingi sana kwanini uislamu ujifungamanishe na Ukristo? Kwanini uislamu unajenga uadui na ukristo na wala sio dini nyingine? Kuna wachawi, walozi, waganga na waganguzi. Kwanini uislamu haufanyi vita wala chukua hao ila wao na Ukristo tu? Nisaidie jibu hilo bro.
Kila kona upo
 
Wangeanza na waganga wa kienyeji kwanza hawa bora hata hao manabii
 
Usitubanie sadaka wanaleta wenyewe bila kushikiwa bunduki wala rungu
 
Kwa Yesu haijawahi kuwa tambalale hata kidogo. Yaani umwagiwe vimaji tuu na vimafuta vya alizeti eti ndiyo biashara au ndoa ifanikiwe au mikosi iondoke.Yesu siyo Mungu cheap kihivyo.Kwa Yesu kuna masharti na vigezo kamili vya kufuata kumpata ili akutane na haja zako.Full stop.
[/QUOTE] Hapa ndo wajinga wengi wanapopigiwa,,,Yesu mwenyewe anasema katika ufunuo 21:27 "na ndani yake hakitaingia kamwe chochote kilicho kinyonge"...kitendo cha kukubali kuwa unaweza kupata utajiri kwa kutumia mafuta na maji ya upako ni kuonyesha unyonge mkubwa sana nasema ivi kwasababu walio wengi wanakuwa hawaamini katika "neno lenyewe" bali imani yao inakuwa kwenye maji na mafuta.
 
Sasa kama watu wenyewe wanapenda kuibiwa wewe kinakuuma nn? Hiyo ni vita ya fikra waache watuibie tupo radhi kuibiwa
 
Vipi kuhusu madrassa, Misikiti, Mabar ambapo barmaids wanaibia watu, madanguro nayo? Hayo yaendelee tu. Una mapepo sio bure. Uombewe wewe.
Makanisa hasa ya kilokole hayafai kabisa mchana kutwa usiku kucha mziki na vilio watu awalali kwani mkifanya kwa sauti ya chini huyo Mungu wenu yesu hawezi wasikia
 
Hii ni sawa na Sheikh kulawiti msikitini au wale masheikh wanaopunga Mapepo kwa kuwang'ata maamuma niliwaona kwenye muhadhara mmoja Morogoro. Hivyo ni vitu binafsi ambavyo havihusiani na Ukristo. Ukristo umejengwa kwenye mwamba imara ambalo ni Neno. Chochote kifanywacho kinyume cha Neno si cha Ukristo ni cha wazi wanaojifungamanisha na Ukristo.
Makanisa ya kilokole haya tofaoti na vigodoro kelele muda wote mziki vilio hovio
 
Back
Top Bottom