Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Huna wakubwa kwenuHapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu.
serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.