Serikali ifunge makanisa yote ya uchochoroni ya manabii, wanaibia watanzania...

Hapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu.
serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.
Huna wakubwa kwenu
 
Waibiwe tu hakuna namna kinacho nikela kelele na vilio na mziki majirani hawalali
 
Kama wewe ulivio rawitiwa hivi sasa unatemba mavi yanavuja
 
Nenda kawalipoti polisi lakini utoweza sababu nyiyi ndio kazi yenu kurawitiwa kila siku
 
Makanisa ya kilokole haya tofaoti na vigodoro kelele muda wote mziki vilio hovio
Haya kipoozeo cha mashehe pumzika sasa. Kunywa pepsi changanya na maji kisha pumzika shehe wangu
 
Matapeli kule tu zanzibar wanawavunjia mpaka nyumba ndo dawa yao..Upumbavu wakafanyie kwao huko.
Kabla ya muhamad kudai ni nabii nakuleta mambo ya kugawana Mali na mungu wake nusu kwa nusu , haya mambo hayakuwepo

Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
🀣🀣🀣Masai unaongea nn?
 
🀣🀣🀣Masai unaongea nn?
Umeshawahi kuona binadamu anagawana Mali za uizi wa kivita na mungu wake ?

The one and only Muhammad
Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
Umeshawahi kuona binadamu anagawana Mali za uizi wa kivita na mungu wake ?

The one and only Muhammad
Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
Sioni point yako we Karne hii unaibiwa na wanyakyusa?🀣🀣eti mitume.
 
Kwa kuwa haya mambo yanahusisha brainwashing za kiimani,na kuwa watu walo tayari hadi kufia imani hizi. Basi waachwe wasomeshwe namba na manabii hawa feki, Akili zikiwarudia wataondoka wenyewe kimyakimya!
 
Sioni point yako we Karne hii unaibiwa na wanyakyusa?🀣🀣eti mitume.
Point ni mitume ya kitapeli ilianzishwa na Muhammad

Mtu aliwaaminisha anagawana Mali na mungu na majinga yanamuangalia tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Point ni mitume ya kitapeli ilianzishwa na Muhammad

Mtu aliwaaminisha anagawana Mali na mungu na majinga yanamuangalia tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tushasema lazima matapeli wavunjiwe hata nyumba zao kama Zanzibar washaanza 🀣🀣🀣.
 
Ujinga na umasikini wa fikra wa wananchi na jamii kwa ujumla ndiyo msingi wa makanisa hayo na utapeli wa hao manabii.
Jambo la muhimu ni kuwafundisha wananchi kuwa Mungu hapatikani kanisani tu.
 
Tushasema lazima matapeli wavunjiwe hata nyumba zao kama Zanzibar washaanza 🀣🀣🀣.
Shida hayo matapeli yamemuiga Muhammad yeye ndie alieanzisha kujiita mtume mara nabii ukiuliza unabii gani katoa hakuna , Yani prophet without prophecy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mara ukimuona umlipe ,yote kaanzisha muhammad

Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
 
🀣🀣🀣Hao matapeli ndo maana yanavunjowa nyumba kuwakomesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…