Serikali ifunge shule kwa wiki moja, isisubiri maafa kwa Watoto

Serikali ifunge shule kwa wiki moja, isisubiri maafa kwa Watoto

Uhumbwe

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
25
Reaction score
40
Kwanini Serikali isizifunge shule katika kipindi hiki kigumu cha mvua? Badala yake inasubiri maafa yatokee kwa watoto ndio watafute mchawi wa kumnyooshea Vidole

Mfano; Dar hali ni mbaya ya mvua achana na magari kukwama ila huku kwenye Vitongoji duni hali ni mbaya sana.
 
Kuna mikoa ambayo haikuathiriwa na mvua hizi za mwaka huu na zimeisha salama wakashukuru Mungu
 
Back
Top Bottom