Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele. Wachumi waambieni hao watu kubwa mafuta ni lubricant siyo kwa mitambo tu bali pia ni deriving force ya uchumi na lubricant kwa watu na maendeleo yao