Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Dili za watu hizo mzee kwa nchi yenye viongozi wasio jali kama Tanzania usitarajie chochote kile kutoka kwao, mshauri mkuu ni kikwete ambaye ni mpiga dili namba 1Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele. Wachumi waambieni hao watu kubwa mafuta ni lubricant siyo kwa mitambo tu bali pia ni deriving force ya uchumi na lubricant kwa watu na maendeleo yao
Mitano tena. Wacha waisome namba, CCM mbele Kwa mbeleeee......Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele. Wachumi waambieni hao watu kubwa mafuta ni lubricant siyo kwa mitambo tu bali pia ni deriving force ya uchumi na lubricant kwa watu na maendeleo yao
Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa?
Mafisadi ya CCM yanawaza matumbo yao wakati Serikali makini zinawaza raia wao!Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele. Wachumi waambieni hao watu kubwa mafuta ni lubricant siyo kwa mitambo tu bali pia ni deriving force ya uchumi na lubricant kwa watu na maendeleo yao