Serikali iichukulie hatua Zambia Reports kwa kuchapisha uongo mtandaoni kuhusu mgombea urais wa CCM Mama Samia

Serikali iichukulie hatua Zambia Reports kwa kuchapisha uongo mtandaoni kuhusu mgombea urais wa CCM Mama Samia

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,234
Reaction score
3,192
Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.

CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.

 

Attachments

  • Screenshot_20251024-192652_Facebook.jpg
    Screenshot_20251024-192652_Facebook.jpg
    57.3 KB · Views: 30
Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.

CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.

You must be sick! Lissu ni mpinzani pekee anayeshikiliwa na Serikali ya Chama Cha Majambazi?
 
Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.

CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.

Jamaa wapo sahihi kabisa wapewe kongole
 
Gazeti lingine la Kusini mwa Afrika

Pretoria, Republic of
South Africa

Rais wa Tanzania aachana rasmi na maigizo yake ya kuleta mageuzi kupitia 4R huku kukiwa na wimbi kubwa la kudumaza demokrasia Afrika Mashariki​


Tanzanian president drops pretence of reform amid retreat from democracy in east Africa​

Tanzanian president drops pretence of reform amid retreat from democracy in east Africa

President of Tanzania Samia Suluhu Hassan attends a meeting at the State House in Dar es Salaam on 8 February 2025. (Photo: EPA-EFE / Anthony Siame)

Criminal Case No. 19605/2025: Republic vs Tundu Lissu.


By Peter Fabricius Follow
11 May 2025 0

In the lead-up to the October elections, Tanzania’s president is retreating from democracy – along with the rest of the east African region.​

Democracy is in bad shape in east Africa and seems to be getting worse. Tanzanian President Samia Suluhu Hassan’s political reforms after she succeeded the authoritarian John Magufuli in 2021 raised a glimmer of hope – but she now seems to have regressed.
Reacting to the general retreat from democracy, Kenyan politician Martha Karua, a former member of Parliament and cabinet minister, and Raila Odinga’s running mate in the 2022 presidential elections, is leading a campaign against opposition party suppression in the region.


Her Pan-African Progressive Leaders Solidarity Network is demanding the “immediate withdrawal of charges against Mr Lissu and all political prisoners”. This refers to Tundu Lissu, the leader of Tanzania’s Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) party, who was arrested and detained in April on treason charges. Chadema is pushing for electoral reforms ahead of the October general elections under the slogan “No Reforms, No Election”.
Karua’s group describes Lissu’s case as “emblematic of growing threats to democracy across Africa”. She has also joined the legal team defending Ugandan opposition leader Kizza Besigye and his ally Hajji Obeid Lutale, who were jailed without bail on charges of treason and illegal possession of weapons. Meanwhile, veteran Burundi opposition leader Agathon Rwasa has been sidelined from participating in next month’s elections.
Ugandan opposition leader Bobi Wine, who ran against President Yoweri Museveni in the last presidential elections, posted this week about visiting his bodyguard, Eddie Mutwe, and other jailed party members in prison. Mutwe was abducted last month by armed men. Wine said they had been tortured and that military chief Muhoozi Kainerugaba – Museveni’s son – had personally participated in the assault.


Kainerugaba, who seems beyond the control of his father or anyone else, openly boasted on social media that he was holding Mutwe in his basement. Kainerugaba regularly posts threats to Wine and his officials. This blatant aggression is particularly disturbing since it is widely believed Museveni is grooming him as a successor.
And Kenya is somewhat complicit, having allowed Ugandan agents to abduct Besigye in Nairobi last December. Opposition activists report a spate of such abductions across the region.
None of the eight East African Community member states is a full democracy, according to Freedom House. Its 2025 report ranked Kenya as Partly Free and the rest as Not Free. Tanzania was demoted from Partly Free last year. The average score for EAC members was 22.875 out of 100 – way below the Partly Free threshold of 36. And the overall score of all eight declined from 187 in 2024 to 183 in 2025.
While Kainerugaba seems more straightforward, Samia is rather enigmatic. As Nicodemus Minde, Institute for Security Studies researcher in Nairobi, recently wrote, after succeeding Magufuli following his death in 2021, Samia seemed set to reverse his legacy. She “proudly championed the ‘Four Rs’ of reconciliation, resilience, reform and rebuilding.”


She ended Magufuli’s ban on political rallies, repealed his repressive media laws and released then Chadema leader Freeman Mbowe from prison. Mbowe had spent eight months in jail on terrorism charges.
But last year the wheels started coming off her reform initiative. Chadema official Ally Kibao was abducted and murdered in September, and another, Aisha Machano, was brutally attacked in October. In August, hundreds of Chadema officials and supporters, including Mbowe and Lissu, were detained ahead of a planned rally.

It appeared the crackdown was linked to the November 2024 local elections. Chadema raised concerns that they would not be free and fair, mainly because the management of the polls remained firmly in the hands of government officials and not an independent electoral commission.
Proposals to have election results challenged in court have been ignored by the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). So the election system remained “completely captured by the ruling party”, as Minde told ISS Today. CCM won the local polls by a landslide after most opposition candidates had been banned.
And now her government has cracked down again in the lead-up to the October national elections by charging Lissu with the exaggerated offence of treason because Chadema threatened to boycott these elections too, failing electoral reforms.


This week, the courts ordered the state to bring Lissu to court for his next appearance on Monday, 19 May. He has been on a hunger strike in protest against being forced to appear in court only virtually. He is insisting on habeas corpus to protect himself against possible harm in jail.
It seems likely that the CCM is subjecting Lissu to legal harassment so that he and his party will be effectively ruled out of the October elections, leaving the field open to the CCM.
What is unclear about Samia, though, is why she has reversed her reform course. Until quite recently, the prevailing narrative was that she was failing to face down opposition to her reforms from Magufuli hardliners, who remained strong in the CCM and feared a Chadema win in the October elections.

But Minde told ISS Today that having removed several Magufuli loyalists early on, “she’s now turned to most Magufuli loyalists to beef up her government ahead of the elections”. She has also “consolidated her power by eliminating any potential competition from within CCM and now with the treason case Lissu is facing”.
If this is true, it would suggest that Samia has at last become her own woman. Though not in the way many had hoped she would. DM
advertisement
 
Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.

CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.

1761133364653.jpg
 
Mheshimiwa Balozi Dr. Msuya Waldi Mangachi amezungumzia nguvu ya umma hutumika, nguvu ya umma haina makosa pale inapochukua maamuzi ya kutaka hatima yao kwa nguvu ya umma

TANZANIA 2025 GENERAL ELECTIONS

Ambassador Dr. Msuya W. Mangachi - On Masses Overthrowing the King .. genesis of democracy ... fair elections ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=0iKkCMHUlao
Guests :

H.E Dr. Msuya Waldi Mangachi, former High Commissioner of the United Republic of Tanzania in Abuja, Nigeria who is also accredited to Benin, Togo, Cote D'ivoire, ..

Dr. Bravious Kayoza Doctor of Philosophy - PhD Political Economy..
 
Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.

CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.


Ndiyo ukweli wenyewe huo. Hao wengine wapo hapo kwa bile wamewezeshwa na Maza, mpaka wamepewa maVX ili kuongeza number ya wagombea. Unavikiri dunia haioni yote hayo...!!?
 
 
Tanzania 2025: Can Election Observers Save Democracy — or Simply Witness Its Funeral?

View: https://m.youtube.com/watch?v=QPVqxgpsqfk
As Tanzania heads to the polls on October 29, 2025, the world watches nervously.

Will election observers from the African Union (AU), SADC, and EAC stand as the last guardians of democracy — or become silent witnesses to another managed election?

In this powerful episode of The Bold African Voice (BAV), we unpack the state of Tanzania’s democracy under President Samia Suluhu Hassan, the disqualification of opposition parties, media censorship, and the continent-wide crisis of election legitimacy.

From Dar es Salaam to Harare, from Nairobi to Abuja, we draw parallels across Africa — exploring how regional observers, domestic monitors, and citizens can reclaim electoral integrity.

🔍 This episode features:

• Critical analysis of Tanzania’s 2025 election environment

• Africa-wide comparison: Zimbabwe, Mozambique, Nigeria, and Kenya

• The observer dilemma — diplomacy vs. democracy• Domestic election monitors and citizen journalism

• A forward-looking roadmap to rebuild trust by 2030

💡 Key Takeaway:

Africa doesn’t lack elections — it lacks accountability. Observers can’t save democracy unless citizens join them in defending it.________________________________________
🗝️ KeywordsTanzania elections 2025, AU observers, SADC mission, Samia Suluhu Hassan, CHADEMA, Tundu Lissu, African democracy, election rigging, human rights, media freedom, voter repression, African Union, East African Community, democracy in Af
 
Punguhani kaanzisha uzi anashushiwa mvua ya kufa mtu.
KACHIMBA.
Afisa Ngiri kabisa wewe.
 
Wazambia wajikite kwenye mambo yao yanayowasibu. Uchumi wa Zambia umeshavurugika kiasi kwamba hiyo nchi isipokuwa makini inaweza fanywa kitu mbaya sana na wachina.
 
24 October 2025

Tanzania 2025: Ndani ya Michuano ya Kikatili Zaidi ya Uchaguzi barani Afrika

View: https://m.youtube.com/watch?v=J74HbQn--9k

Tanzania: Jinsi Chama Tawala Kinavyoshinda Kabla ya Siku ya Uchaguzi

🚨 HARAKA: Demokrasia ya Tanzania inavunjwa mubashara / live katika wakati halisi. Siku tano kabla ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 kiongozi mkuu wa upinzani ameketi gerezani akikabiliwa na hukumu ya kifo.

Chama chake cha CHADEMA kimepigwa marufuku kupiga kura. Mitandao ya kijamii imezuiwa. Wanaharakati wanatoweka.

Na Rais Samia Suluhu Hassan anakaribia kushinda... akikimbia bila kupingwa. Hii sio hadithi ya Tanzania pekee. Ni kitabu kipya cha michezo michafu inayoenea kote barani Afrika—kutoka Cameroon hadi Ivory Coast—kinaonyesha jinsi vyama tawala kongwe tawala vikidumisha mwonekano wa demokrasia huku vikiondoa kiini chake.

Chaguzi za mara kwa mara ✓ Vyama vingi ✓ Waangalizi wa kimataifa ✓ Lakini upinzani wanakamatwa, majukwaa ya mikutano ya vyama pinzani ikazuiwa, na kizazi kizima kikiuliza: "Je, kura yangu ninayotiki itahesabiwa nikipiga kura tarehe 29 Oktoba ?"

Katika uchunguzi huu wa dharura, tunachunguza jinsi chama tawala kongwe dola cha Tanzania kwa miaka 64 CCM kinavyoshinda kabla ya hata ya kura moja kupigwa, jinsi uenguaji wa upinzani ulivyokuwa wa kawaida, na kwa nini kila nchi ya Afrika inapaswa kutazama.

📌 SURA
0:00 — Utangulizi: Siku Tano Kabla ya Uchaguzi Uliopangwa tarehe 29 Oktoba

3:48 — Kukamatwa Kulikobadili Kila Kitu: Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu akishitakiwa kutaka kutisha / kupindua serikali

9:09 — Chama Dola Kongwe kisichoweza Kupoteza chaguzi : Jinsi CCM Ilivyojijenga kimla kwa Miaka 64 ili kutawala kupitia katiba mbovu na matumizi ya vyombp vya dola

14:33 — Mwanamke Aliyekamilisha Udhibiti wa Samia93 : Machafuko ya Kidijitali: Jinsi Vijana wa Tanzania Wanavyopambana na Simu za Smartphone

25:20 — Kunyamazisha Uwanja wa kiDigital: Kuzimwa kwa X Twitter, kufungiwa JamiiForums kwa siku 90, na sasa kushamiri kwa matumizi haramu ya VPN kukua

30:27 — Visiwani Ambapo kunaweza Kulipuka: hatari ya mtungi wa baruti kulipuka Zanzibar

35:31 — Hesabu ya Kidemokrasia ya Afrika: Nini maana ya Tanzania Bara 1964.— Mawazo ya Mwisho: Demokrasia Itakapokuwa Tamthilia

🔍 UFUNUO MUHIMU

✅ Tundu Lissu: Aliyepigwa risasi 38 mwaka 2017, alinusurika, alirejea kutoka uhamishoni—sasa anakabiliwa na hukumu ya kifo kwa kudai marekebisho

✅ CHADEMA yafutiliwa mbali: Chama kikubwa zaidi cha upinzani nchini Tanzania chapigwa marufuku katika uchaguzi wote wa Aprili 12, 2025: R4 Reforms Reconciliation, Resilience za Samia yatoweka kama mwanga wa radi upoteavyo ghafla machoni miezi kadhaa kabla ya uchaguzi

✅ Mateso ya kijinsia kwa wanaharakati: Waangalizi wa Kenya na Uganda walishambuliwa kingono na vikosi vya usalama vya Tanzania Mei 2025

✅ Jukwaa la X lilizuiwa: Kufungwa kote nchini Mei 20, 2025—Utumiaji wa VPN kwa njia ya jinai, kukataza raia kutoka kwa habari

✅ "Hakuna mageuzi ya serikali ya vijana"

✅ Kielelezo cha Zanzibar: Visiwa vinavyojitegemea kama nchi huru ndani ya Tanzania vyatambuliwa kuwa ktk hatari kubwa zaidi ya ghasia kutokana na historia ya kuibiwa kwa uchaguzi

✅ Dau la China la dola bilioni 10: Uwekezaji wa miundombinu yaweka nafasi ya Tanzania kuwa kitovu cha Afrika Mashariki—ikichukua utulivu wa chama kimoja huku ukiupa utawala wa Samia jeuri kuidindia Bunge la Ulaya, mataifa ya magharibi na Marekani ya Kaskazini na kukemea uingiliaji wa mambo ya ndani ya Tanzania

✅ Mtindo wa chama cha ukombozi: CCM inaangalia ANC, FRELIMO, SWAPO na ZANU-PF ili kuepuka ukandamizaji,

MAMBO YA AFRICA Uchaguzi wa Tanzania wa 2025 si tukio la pekee—ni suala la mabara:

🔸 Cameroon imefanya uchaguzi hivi punde huku kiongozi wa upinzani akikabiliwa na uhaini (inafahamika?) FRELIMO ya Msumbiji, ZANU-PF ya Zimbabwe wakitazama utawala na ushawishi wao ukiporomoka

🔸 Mkakati wa CCM: Tukiondoa upinzani kabla ya uchaguzi, hatutawahi kukumbana na kile kinachowakabili vyama vingine vya ukombozi kusini mwa Africa nchi za SADC

Swali Kuu : Je, vyama vya ukombozi vya Afrika vinaweza kubadilika kupitia ushindani wa kidemokrasia, au lazima ving'ang'anie madaraka kwa njia ya ubabe unaozidi kuwa wa hali ya juu?

💬 JIUNGE NA MAZUNGUMZO haya Je, unafikiri nini kitatokea tarehe 29 Oktoba 2025 ?

Je Zanzibar itazuka kwa vurugu?

Je, vijana wa Tanzania watakubali matokeo?

Je, muujiza wowote unaweza kuzuia kutawazwa huku?

Dondosha ubashiri na uchanganuzi wako kwenye maoni hapa chini. Ikiwa uko Tanzania au una ufahamu wa kile kinachotokea mashinani—tunataka kusikia kutoka kwako.

Je, watu wanasema nini ambacho vyombo vya habari vya kawaida haviangazi

Source : Frontline Africa
 
24 October 2025

BREAKING NEWS: Ukandamizaji Uliofichwa Tanzania : Kwa Nini Vijana Wanaibuka Kupinga Ukimya wa Samia Suluhu juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na haki za demokrasia​


View: https://m.youtube.com/watch?v=FV_87GXG8a8
Tanzania - iliyokuwa ikijulikana kwa amani na utulivu wa kisiasa - sasa inakabiliwa na dhoruba kali ya hatari isiyotulia.

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan unashutumiwa kwa kunyamazisha wapinzani, kuwakamata wapinzani, na kuzuia ufikiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania mtandao wa X Twitter, JamiiForums n.k huku serikali ikiendelea kutumia mtandao wa X Twitter ili kudumisha taswira nzuri isiyo halisi kimataifa.

Katika uchambuzi huu wa kipekee wa Idhaa ya Habari ya AfriPlus, tunafichua pengo linaloongezeka kati ya simulizi za kipropaganda za serikali ya Tanzania na hali halisi inayowakabili raia wake.

Kuanzia kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani Tundu Antipas Lissu hadi kushambuliwa kwa Padri Kitima, na madai ya kukandamizwa kwa wanaharakati kama John W. Heche, nafasi ya kidemokrasia nchini inaonekana kupungua kwa kasi.

Hata hivyo, nguvu mpya inaibuka - vijana wa Tanzania. Wakiwa wameuchoka utawala wa Samia Hassan, vijana wenye ufahamu zaidi kuliko wazee wao , na sasa mitandao vijana wanaotaka mabadiliko wameunganishwa mitandaoni, sauti zao kwa mamilioni zimepata nguvu mpya dhidi ya vitisho vya kisiasa na upotoshaji wa vyombo vya habari vya serikali. Vijana wanaongezeka, wanadai uwazi, haki, na demokrasia ya kweli - vuguvugu linalounga mkono kote barani Afrika kwa sauti zenye nguvu zaidi ya milioni 2 zinazotaka mabadiliko.

Tazama hadi mwisho kwa uchambuzi wa kina wa kitaalamu wa mivutano iliyofichika ya Tanzania, usimamizi wa taswira ya kimataifa unaofanywa na Prof. Kabudi waziri wa wizara ya habari na ukweli , na swali kuu lenye nguvu: Je, nini kinatokea ukimya ukikatika?

Jiunge na mazungumzo - shiriki mawazo yako kwa heshima katika maoni. Sauti yako ni muhimu
Source : AfriPlus News
 
Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.

CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.

ACT mgombea ni nani?
 
Back
Top Bottom