Uchaguzi uliokataliwa na wengi nchini Tanzania, mipango ya maandamano. Raia wachafukwa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=CSq74-MfOjA
View: https://m.youtube.com/watch?v=CSq74-MfOjA
Uko sahihi lakini tunataka serikali iwachukulie hatua wale waliompiga rusasi Tundu Lissu muda umekuwa ni mrefu sana.Wazambia wajikite kwenye mambo yao yanayowasibu. Uchumi wa Zambia umeshavurugika kiasi kwamba hiyo nchi isipokuwa makini inaweza fanywa kitu mbaya sana na wachina.
hivyo ndivyo vyombo vya habari sasa sio takakaka zenu za kuchambia za bongo hapa za kina balileZambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.
CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.
www.facebook.com
Unataka serikali ikamteke rais wa Zambia?Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29. Mgombea pekee ambaye angekuwa kwenye kampeni kama asingekuwa na kesi mahakamani na chama chake kutosusia uchaguzi ni Tundu Lissu.
CHAUMMA, ACT, CUF na vyama vingine vya upinzani tayari vimesimamisha wagombea wanaochuana na Mama Samia. Uchaguzi huu sio mrahisi kwa mgombea wa CCM kama watu wengi wanavyodhani wakiwemo hawa ZAMBIA REPORTS.
www.facebook.com