Serikali iingilie kati. Wanaume wengi siku hizi kuna kitu kinawapata. Ushahidi Huu

[emoji38][emoji38][emoji38]. Chai na kiporo cha wali!
 
Mambo ya awamu ya 5!
 
Mkuu Awamu ya 5 ni noma umemsikiliza Membe akitoa vipaumbele vyake?
 
Yeye mwenyewe unaemtaja alilia kama mtoto kanisani
 
Siku hizi me:
Ni wambea
Waongo
Wanalialia
Wana wivu
Wana chuki
Wasengenyaji
wadangaji(marios)
Wakata mauno mbele za watu(eg Kangi)
Wana Gubu
Wana Lawama

Hadi nimechoka kuandika. Wanaume wamekuwa wachache kweli.
Una uzoefu mwanamke
Endelea na utafiti
 
Machozi ni expression of human emotions.
Emotions hazifichiki kama moyo umeumia.
Kisayansi machozi yamethibitika kuondoa stress mwilini.
Wale wanaojitahidi sana kuficha stress zao huishia kuwa na magonjwa ya moyo.

Mwanamme lia upendavyo, na hiyo si dalili ya unyonge.
Actually mtu mwenye emotions kali anaweza kumuwinda na kummaliza aliyemsababishia hiyo stress ya kumtoa mtu machozi .
Fanya utafiti uelewe.
 
Mbona naye alilia sana madhabauni
 
Jinsi ulivyoandika tu nadhani hapo pia nawe unalia.maana umeandika mambo hayaeleweki. Nyamaza kwanza ndo uandike kwa utulive. Pole najua wakati mwingine sisi wanaume tunaumiza ila tusamehe tu.

 
Bashite nae analia lia sana

Mwanaume halii kijinga vile kwa mambo yasiyo na mashiko

Mwanaume analia kindani ndani au niseme ndani yake (moyoni), au anainamisha kichwa akikinyanyua utaona macho yanamaji maji kiasi na sura ya kikakamavu isiyoendana na kile macho yanajaribu ku-show
 
Mutoto ya mujini!...alivyojiita tu vile wengine tukaweka alama ya kuuliza!
 
Jinsi ulivyoandika tu nadhani hapo pia nawe unalia.maana umeandika mambo hayaeleweki. Nyamaza kwanza ndo uandike kwa utulive. Pole najua wakati mwingine sisi wanaume tunaumiza ila tusamehe tu.
Mkuu pengine kama hukuelewa vizuri, be very careful, narudia be very careful na mwanaume abayeweza kuachja chozi kwa hasira au emotions kali.
Ni hatari!
Hiyo ni experience yangu.
 
Siku hizi kuna wanaume WA supu ya pweza, muhogo, nazi na Karanga, alkasusu NK nk. Wataacha kulia?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…