Serikali iingilie kati. Wanaume wengi siku hizi kuna kitu kinawapata. Ushahidi Huu

RC Makonda angekuwepo madarakani angetoa tamko “Wanaume wa Dar ni marufuku kula chips”. Inaelekea chips zege ndiyo chanjo cha matatizo.

Lijualikali kule Ifakara unakunywa chai na kiporo cha wali, sasa haya matatizo ya kulialia yametokea wapi?
Kakulia Dar huyo!
 
Nae uyo alilia pia
 
Nimechekasana hapa:

"Itakuja tokea vita hapa mtakusanya wanajeshi wakapambane mtawakuta wote wanajipiga selfie wakilia kuwa nchi xxxx inawaonea kuwaanzishia vita.huku bunduki wameweka chini wakilia."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanasusa mpaka miili ya wake zao[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mzee wa kaya naye alilia alafu akasema aliyemwachià kaya Nate alilia
 
Alianza Mc Pilipili kulia mbele za watu akiwa haamini kama ataenda kupata papuchi ile iliyokuwa mbele yake.alilia sana... Ilinishtua. Zamani kipindi kama kile wanawake ndo walikuwa wanalia. Lakini sasa ikawa mwanaume.nikanyamaza.

Akaja Lijua Kali. Akalia mbele ya wabunge wanawake na wanaume.akalia mbele ya wavulana na wasichana.akisema anateseka sana CHADEMA nikashtuka. Huyu bwana mdogo ana miaka juu ya 18 analiaje kuwa anateswa?hayo mambo tungesikia zamani mwanamke akilia anateswa kwenye ndoa.nikanyamaza.

Jana nmeona video ya mwanamuziki anajiita Top in Drama. TID naye analia mbele za camera anasema ameonewa kuna msemo kabuni watu wamechukua.nikashtuka sana.zamani nlizoea kuona vitoto vya kike au vya kiume visivyo na afya ndo vinalia lia namna hiyo.hapa nikasema sitonyamaza.

Serikali. Ni kipindi sasa cha kuangalia ni nini hasa kinakuwepo kwa watu hawa.hormones za kulia lia hazipo kwa wanaume.tena kwa mambo ya kipumbavu...no way. Wanaume tunalia kwenye msiba tena kidogo tu na pia majanga mengine makubwa mazito.tena kidogo sana.na si mbele ya camera. Huwa tunaenda kulia nyuma ya camera.

MC Pilipili amekaa maeneo ya kinondoni jamaa zangu wana stories zake nyingi.

TID naye amekulia huko kinondoni.wanasema sababu ya kutumia na kupenda madawa ya kulevya basi na wanaume mabaradhuli wakapitia humo humo ndo sasa yupo hibyo alivyo.

Serikali iingilie kati. Huko tunakoenda watakosekana wanajeshi,watakosekana wanaume...maana watabaki akina mc pilipili na tid na ndugu yao lijua likali.

Itakuja tokea vita hapa mtakusanya wanajeshi wakapambane mtawakuta wote wanajipiga selfie wakilia kuwa nchi xxxx inawaonea kuwaanzishia vita.huku bunduki wameweka chini wakilia.

Waswahili wanasema mwanzo wa ngoma ni lelele. Tungeziba ufa kauepuka gharama ya kujenga ukuta.
 
Attachments

  • VID-20200721-WA0037.mp4
    4.1 MB

Well said !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ni Aibu kubwa kwa hao wavulana kulialia tena mbele ya Wanawake, na Wanawake au watoto wafanyaje...ni AIBU

Kweli layoni ni layoni tu.
TID ni mtoto wa mama, msameheeeni tu
 
Kuna mwingine hapa nimemfokea aache kulialia ovyo
 
Alianza Mc Pilipili kulia mbele za watu akiwa haamini kama ataenda kupata papuchi ile iliyokuwa mbele yake.alilia sana... Ilinishtua. Zamani kipindi kama kile wanawake ndo walikuwa wanalia. Lakini sasa ikawa mwanaume.nikanyamaza.

Akaja Lijua Kali. Akalia mbele ya wabunge wanawake na wanaume.akalia mbele ya wavulana na wasichana.akisema anateseka sana CHADEMA nikashtuka. Huyu bwana mdogo ana miaka juu ya 18 analiaje kuwa anateswa?hayo mambo tungesikia zamani mwanamke akilia anateswa kwenye ndoa.nikanyamaza.

Jana nmeona video ya mwanamuziki anajiita Top in Drama. TID naye analia mbele za camera anasema ameonewa kuna msemo kabuni watu wamechukua.nikashtuka sana.zamani nlizoea kuona vitoto vya kike au vya kiume visivyo na afya ndo vinalia lia namna hiyo.hapa nikasema sitonyamaza.

Serikali. Ni kipindi sasa cha kuangalia ni nini hasa kinakuwepo kwa watu hawa.hormones za kulia lia hazipo kwa wanaume.tena kwa mambo ya kipumbavu...no way. Wanaume tunalia kwenye msiba tena kidogo tu na pia majanga mengine makubwa mazito.tena kidogo sana.na si mbele ya camera. Huwa tunaenda kulia nyuma ya camera.

MC Pilipili amekaa maeneo ya kinondoni jamaa zangu wana stories zake nyingi.

TID naye amekulia huko kinondoni.wanasema sababu ya kutumia na kupenda madawa ya kulevya basi na wanaume mabaradhuli wakapitia humo humo ndo sasa yupo hibyo alivyo.

Serikali iingilie kati. Huko tunakoenda watakosekana wanajeshi,watakosekana wanaume...maana watabaki akina mc pilipili na tid na ndugu yao lijua likali.

Itakuja tokea vita hapa mtakusanya wanajeshi wakapambane mtawakuta wote wanajipiga selfie wakilia kuwa nchi xxxx inawaonea kuwaanzishia vita.huku bunduki wameweka chini wakilia.

Waswahili wanasema mwanzo wa ngoma ni lelele. Tungeziba ufa kauepuka gharama ya kujenga ukuta.
Nilikuwa najiuliza kwa nini Kinondoni na si Kolomije?????!!! Kumbe jibu ni hilo! Konda bwaaana.
 
Back
Top Bottom