Serikali iingilie mavazi harusini

Serikali iingilie mavazi harusini

Huu upuuzi unavaliwa kwenye harusi za kifahari zinazofanyika usiku wa manane.
 
Kwenye harusi za kawaida zinazofanyika mchana huwezi kuona mavazi haya. Mavazi haya utayaona kwenye harusi za kifahari na anasa zinazofanyika ukumbini usiku wa manane. Cha ajabu wanaovaa upuuzi huu hawana ndoa, mwanamke mwenye ndoa na maadili hawezi kuvaa mavazi ya kikahaba kwenye shughuli ya heshima kama harusi
 
Mavazi mabaya Kama yakuvaa madanguro usiku au kwenye disco kwa ajiri ya kubambiwa, usiku inapendeza magauni marefu Kama wanayovaa wambele au Yale wanayovaaga mamiss au Wanamitindo, ukiangalia vipindi vya wasanii wa mbele wanavyozindua move zao kina kupita nyongo, Halle berry Yale magauni yao malefu juu mikanda ya sidiria au mkono mmoja, au kata maziwa, mazuri kweli na wanaoendeza Sana.
 
Harusi zenyewe unakuta makungwi hawana ndoa, uhuni mtupu, huko ukumbini si ndiyo balaa? Harusi zimevamiwa na wahuni nao wanafunga ndoa za maonyesho ya mavazi
 
Back
Top Bottom