Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Kama watendaji wa hovyo kwenye usimamizi wa uwanja wa Benjamin William Mkapa wamesimamisha ,vipi kuhusu waliohusika na ubadhirifu wa Mabillion kutokana na Ripoti ya CAG ni wazi Basi serikali haioni umuhimu kwenye masuala yanayogusa Rasimali za Watanzania maskini na wanyonge.
May Mosi Njema kwa Wafanyakazi wote Nchini.
May Mosi Njema kwa Wafanyakazi wote Nchini.