Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mulamula anasema sisi tuko neutral.Mtoa hoja kumbuka sisi bado ni wajamaa, hatujawahi kuukana ujamaa wetu popote pale.
Pesa zipo nyingi, wachukue hizo pesa wajenge hizo barabaraMleta mada naona umeshakubali hii serikali ya CCM ni chakavu viongozi wake hawana tena mbinu mpya za kuleta maendeleo, hivyo umeona jambo la msingi ni kurudi kumkamua mtanzania yule yule anayelipa kodi kila wakati ila umuhimu wa hiyo kodi yake hauonekani.
Jiwe ndiye chanzo cha yote haya mkuu, kifupi ccm walikosea sana kumpa nchi.Mleta mada naona umeshakubali hii serikali ya CCM ni chakavu viongozi wake hawana tena mbinu mpya za kuleta maendeleo, hivyo umeona jambo la msingi ni kurudi kumkamua mtanzania yule yule anayelipa kodi kila wakati ila umuhimu wa hiyo kodi yake hauonekani.
Naona kama taifa tulikimbilia kupata uhuru bila kujua nini tutafanya baada ya kupata uhuru huo, tunazidi kurudi nyuma kila siku kimaendeleo kwa fikra zetu zakitumwa.
Tutawaingiza kanda ya MBAGARA. Center itakuwa pale uhasibuKigamboni ni kanda ya wapi mkuu?
Aisee, mbali sana, wao inabidi wawe na kanda yao, so naweza sema kuwa na kanda tanoTutawaingiza kanda ya MBAGARA. Center itakuwa pale uhasibu
Kwani ukivuka bahari kule upande wa pili kuna foleni pia?Aisee, mbali sana, wao inabidi wawe na kanda yao, so naweza sema kuwa na kanda tano
Tofauti hapa ni majukumu.Mulamula anasema sisi tuko neutral.
Lakini ni nchi gani ya Ujamaa inalipa mshahara kwa watumishi kwa utofauti kiasi hichi cha Tanzania?
Mmoja analipwa 300,000 anaambiwa ajitegemee chakula, malazi, mavazi n.k
Huku mwingine analipwa 15,000,000 huku akipewa mahitaji mengine bure.
No.Jiwe ndiye chanzo cha yote haya mkuu, kifupi ccm walikosea sana kumpa nchi.
Tafadhali Watu wa DCEA ongezeni bidii yenu katika Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya ( Bangi na Gongo vikiwemo ) kwa Watanzania kwani ni kama vile Watumiaji na Wahanga wanaongezeka kwa Kasi hata humu Mitandaoni.Habari!
Dar es salaam ina kanda kuu kama nne hivi, KANDA YA GONGOLAMBOTO na viunga vyake, KANDA YA MBAGARA na viunga vyake, KANDA YA MBEZI BEACH na viunga vyake na KANDA YA MBEZI LOUIS/KIMARA na viunga vyake.
Serikali ijenge barabara katika kanda hizi.
Barabara ziwe za kulipia angalau 2000-5000 kwa gari binafsi na 5000-10000 kwa gari za abiria.
Hizi barabara ziwe na vituo vichache tu na speed ni kuanzia 80 km/h - 120 km/h. Chini ya speed hiyo ni faini.
Hapo mtu utaweza kuondoka Tegeta saa moja na nusu na kufika kazini Posta saa mbili kamili